Ruge atimiza miaka 49, happy birthday Mdau

Ruge atimiza miaka 49, happy birthday Mdau

jamaa sio kwa kuchapia huko "" kumbe huyo ruge Tayari nimzee"" kiasi hicho duuhh"" na hapo usikute kafnya Editting ya miaka Yke "" waweza kukuta ana 53
Wazazi wako wana umri gani?
Wewe utabakia ulivyo miaka yote
Mungu amekuwa mwema kwake kumuwezesha kufikia umri huo
Jiulize wewe utafika na kizazi chenu kilichojawa na mengi magonjwa ni mfano mmoja tu
Acheni kumkejeli Mungu aliyetuumba
Mzee mzee baba yako kijana?
Happy B'Day Ruge
 
hahaaa haha yaani umetumia nguvu zote hizo " katika kujibu mambo ya utani kama yale" kweli mahaba sio kitu cha mchezo ""
 
Lakini kumbuka ulimuacha for four solid years! Sisemi alikuwa na haki ya kucheat ila kuwa fair
Ku- cheat ni kosa kubwa sana, sembuse kupewa ujauzito
na kufanya attempt ya kutoa mimba ni kosa jingine
she really want to tek me for a fool.....
mambo mengine tunayaachaga tu yapite
leo nimefunguka yote humu but nashukuru hakuna anayejua ID yangu
kuchapiwa mke ni jambo la aibu kabisa....
 
Ni kweli Mkuu.ila dunia ndivo ilivo.
Tatizo lenu nyie wahenga hamjui kusamehe wala kujisamehe wenyewe.
 
Back
Top Bottom