juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Kabisa. Walianza kuondoka akina Regina Mwalekwa, sio akina Ayo tu. Mbona Kayanda wa Clouds FM kachukuliwa na BBC na hajaandikwa?Mahaba ya mtoa post kwa Ruge .
Alafu hivi Sam misago kwanini anashindwa kusema "sishikiki" anasema shishikiki"msikiloze saa 12 jion afu leta report.
Mi na utangazaji wapi na wapi? Siwezi kuwa mwandishi wa habari hata wanangu hawatafanya wala kusomea fani hiyoBaba Moureen wewe unatangaza kituo gani?
wewe mbona umeshindwa kuandika msikilizeAlafu hivi Sam misago kwanini anashindwa kusema "sishikiki" anasema shishikiki"msikiloze saa 12 jion afu leta report.
Mkuu mbona hatujasikia songi lako lolote hadi sasa hewani?Mi na utangazaji wapi na wapi? Siwezi kuwa mwandishi wa habari hata wanangu hawatafanya wala kusomea fani hiyo
Kusaga ni CEO wa Clouds media ambayo ndani yake kuna clouds radio,clouds tv na choice fmkwa hiyo joseph kusaka ndo mmiliki wa clouds fm/tv na choice fm au nsiko sahihi wakuu?
Uandishi Wa mwendo [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589]Unaposema Ruge anamiliki Clouds na choice unakosea rudia kuandika upya acha kukurupuka, kitu kingine acha kumfananisha Mengi na mambo ya kipumbavu
Anaamuaga tu kuchanganya na utani, mbona anaweza kusema sishikiki fresh tuAlafu hivi Sam misago kwanini anashindwa kusema "sishikiki" anasema shishikiki"msikiloze saa 12 jion afu leta report.
Inaweza kua kweliyaani unataka kuniambia Mengi ni academy anakuza vipaji na kuvisambaza!,?