Ruge azidi kumchukulia watangazaji Mengi

Ruge azidi kumchukulia watangazaji Mengi

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Mengi anamiliki Radio one, Capital radio, EA radio na Ruge anamiliki Clouds fm na Choice fm. Sasa watangazaji wengi wa Mengi wanakimbilia kwa Ruge.

Tuwaorodheshe; Milard Ayo, Sebastiani Maganga, Kennedy the remedy na juzikati tena amewanyakua Dj Sinyorita na Mamie babie. Hatujakaa sawa mara kawanyakua tena Hasan Masale na DJ Muba na sasa wapo Choice fm.

Mbona anamuandama sana baba wa watu jamani kwani hakuna redio zingine? Tusubiri kusikia Sam Misago nae kachukuliwa.

Kazi ipo hizi media..
 
Ruge siyo Mmiliki wa Clouds FM. Yeye ni Boss tu anayesimamia.

Pili,it is the matter of choice. Presenter au DJ yeyote akiona mahali hapamfai ni ruksa kuondoka.

Mbona hujasema kwamba EFM inazidi kuwachukua watangazaji wa Clouds wengi tu?
 
Alafu hivi Sam misago kwanini anashindwa kusema "sishikiki" anasema shishikiki"msikiloze saa 12 jion afu leta report.
 
Umesahau Ray C ,DJ Steve B na Teddy Gabriel waliokuwa EA Radio late 90s.
 
kwa hiyo joseph kusaka ndo mmiliki wa clouds fm/tv na choice fm au nsiko sahihi wakuu?
 
kabla hajaanzisha clouds alikua ana biashara gani? maana naona mjamaa ana mipesa si haba
 
kwa hiyo joseph kusaka ndo mmiliki wa clouds fm/tv na choice fm au nsiko sahihi wakuu?
Kusaga ni CEO wa Clouds media ambayo ndani yake kuna clouds radio,clouds tv na choice fm
Ruge ni mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji
 
Unaposema Ruge anamiliki Clouds na choice unakosea rudia kuandika upya acha kukurupuka, kitu kingine acha kumfananisha Mengi na mambo ya kipumbavu
Uandishi Wa mwendo [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589] [emoji589]
 
Alafu hivi Sam misago kwanini anashindwa kusema "sishikiki" anasema shishikiki"msikiloze saa 12 jion afu leta report.
Anaamuaga tu kuchanganya na utani, mbona anaweza kusema sishikiki fresh tu
 
Back
Top Bottom