Ruge azidi kumchukulia watangazaji Mengi

Babu Mengi yuko bize na mjukuu wake K-Lyn....
 
Unampambanisha Mengi na Ruge? Kosa kubwa sana unatakiwa uhukumiwe kifungo cha maisha, yaan unafananisha kichuguu na Mlima Kilimanjaro!!!!!
 
Wakuu poleni na mishe za hapa na pale,na wale tunaosomeshwa namba pia nawapa pole,nimeona niulize hili swali pengine wajuvi wa mambo mtanisaidia,ni muda mrefu kidogo naona vyombo vya huyu mzee vimeanza sijui niseme kujipendekeza au uoga yaani newz zinazohusu upinzani hazipewi nafasi kabisa na ikitokea zikaonekana basi ni kiduchu sana,na hii sio tu kwenye luninga hadi magazini yake,ebooo!au labda kafokewa?najiuliza kwa sauti.

HEBU NISAIDIENI KUNIJUZA,NAE KABADILI GIAAAA?
 
Probably kiongozi,si unakumbuka kilichomtokea wakati wa zoezi la kukabidhiwa hati ya ushindi wa jpm alivyozomewa kwa kutuhuma za kupendelea chadema kwenye kurusha habari zao wakati wa uchaguzi mkuu wa 2015??
Hata hivyo huyu mzee hana urafiki au uadui wa kudumu isipokuwa anaangalia maslahi yake tu yasiingiliwe,si anajua jpm ndio ameshika mpini saivi wengine wameshika kwenye makali.[emoji2] [emoji2]
 
Masako naye anatarajia
 
Mleta mada Genius Sebastian Maganga hakutokea IPP MEDIA labda kama miaka hiyooo. Genius Sebastian Maganga alitokea Radio Uhuru Fm kwa wanaokumbuka kipindi cha DEIWAKA alikuwa yeye na Poul James.

Namkubali sana huyu Chalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…