Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,134
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaposema Ruge anamiliki Clouds na choice unakosea rudia kuandika upya acha kukurupuka, kitu kingine acha kumfananisha Mengi na vitu vya kipumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaposema Ruge anamiliki Clouds na choice unakosea rudia kuandika upya acha kukurupuka, kitu kingine acha kumfananisha Mengi na vitu vya kipumbavu
DislikeBabu Mengi yuko bize na mjukuu wake K-Lyn....
Probably kiongozi,si unakumbuka kilichomtokea wakati wa zoezi la kukabidhiwa hati ya ushindi wa jpm alivyozomewa kwa kutuhuma za kupendelea chadema kwenye kurusha habari zao wakati wa uchaguzi mkuu wa 2015??Wakuu poleni na mishe za hapa na pale,na wale tunaosomeshwa namba pia nawapa pole,nimeona niulize hili swali pengine wajuvi wa mambo mtanisaidia,ni muda mrefu kidogo naona vyombo vya huyu mzee vimeanza sijui niseme kujipendekeza au uoga yaani newz zinazohusu upinzani hazipewi nafasi kabisa na ikitokea zikaonekana basi ni kiduchu sana,na hii sio tu kwenye luninga hadi magazini yake,ebooo!au labda kafokewa?najiuliza kwa sauti.
HEBU NISAIDIENI KUNIJUZA,NAE KABADILI GIAAAA?
Nawe huwez sema msilikilize unasema msikiloze[emoji23] (kidding tho)Alafu hivi Sam misago kwanini anashindwa kusema "sishikiki" anasema shishikiki"msikiloze saa 12 jion afu leta report.
Masako naye anatarajiaMengi anamiliki Radio one, Capital radio, EA radio na Ruge anamiliki Clouds fm na Choice fm. Sasa watangazaji wengi wa Mengi wanakimbilia kwa Ruge.
Tuwaorodheshe; Milard Ayo, Sebastiani Maganga, Kennedy the remedy na juzikati tena amewanyakua Dj Sinyorita na Mamie babie. Hatujakaa sawa mara kawanyakua tena Hasan Masale na DJ Muba na sasa wapo Choice fm.
Mbona anamuandama sana baba wa watu jamani kwani hakuna redio zingine? Tusubiri kusikia Sam Misago nae kachukuliwa.
Kazi ipo hizi media..