Haya ni maoni yako tu zuzu....Bashiye amuombee nani?labda kama alienda kupiga ramli chonganishiIna maana siku walipomaliza bifu lao hadi Makonda akaenda kufanya maombi nyumbani kwa Ruge na Ruge akaenda nyumbani kwa Makonda kumpongeza kwa kupata mtoto wewe ulikuwa haujazaliwa au umeamua kuwa mpumbavu kwa muda?
By the way its very nostalgic to pursue and join hands of my super free culture and taboos for the low cursed figures. its absolutely non admirable some thing i never dream-of.I never asked anything from you.
Let's make it straight!
You can not educate me something your self would never know or comprehend.
As far as I can remember you were trying to make Haya people to follow your taboo, but it should be know to you by now that a taboo is not a universal law for every one to obey or comply with.
Can we call it off, now? You seem to be a nice person and I don't like to make enemies out of nice people.
BTW, I am not Haya.
Inauma sana sana unapokuwa ulimfahamu mtu na wanafamilia wote.
Nina ganzi
Mpanga mipango ya kuteka na kuua watu leo amegeuka mwombeaji?Ni mazuzu kama wew wanaoweza kumuamini huyu naibu comedian!!Ina maana siku walipomaliza bifu lao hadi Makonda akaenda kufanya maombi nyumbani kwa Ruge na Ruge akaenda nyumbani kwa Makonda kumpongeza kwa kupata mtoto wewe ulikuwa haujazaliwa au umeamua kuwa mpumbavu kwa muda?
uuuuwwiiii jamani msiba na utani wapi na wapi mie mmakonde.Umeanza utani mtu WA mara.vijiji vya musoma haviwezi fikia hata robo ya vijiji vya wahaya .na Hilo eneo la kabale halina migheto kiviile tembelea kamachumu, nshamba,mugana,kanyigo na nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa haumwi?[emoji44][emoji44]....kifo chake ni cha utata sana wala alikuwa aumwi km watu mlivyo aminishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Liweke hapa hilo tangazo, hakuna kitu kama hicho duniani na hata mbinguni yani mimi nianzishe kampuni na wewe tukapewe leseni na TCRA alafu wao ndio watangaze kuwa wewe unahisa 50 nami 50 mbona haiingii akilini hiyo kitu jukumu lao ni kutangaza nani anamiliki nini na nani hamiliki nini au ni kutoa leseni?
Nandy kutembea na mtu anaemzidi hivyo kulikoni?? ndo maana amekaa kwenye safu za bebi mamaz wa ruge?Nandy alikua mtu wa mwisho kutoka na Ruge anaejulikana wasiojulikana hatuwajuhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo mbona shujaa kama mkurya mkurya hivi!. mama yake mtu wa wapi ebu wana jamvi mnidokeze isije ikawa aliiba mbegu.View attachment 1035869
Ruge Mutahaba ameacha watoto 5. Mkubwa ni huyu Mwachi ambaye amesoma wasifu wa baba yake hapa.
Familia ya Ruge Mutahaba wamesema wanatambua Ruge aliwahi kuwakosea watu kwa kuwa yeye ni binadamu hajakamalika. Mtoto mkubwa wa Ruge amesema "Familia inaomba msamaha kwa niaba yake." Lakini pia wapo waliomkosea Ruge na pengine wapo wanaoendelea kumkosea. Familia imesema "TUMEWASAMEHE WOTE....TUENDELEE MBELE"
angemuua na ile mitutu ya bunduki inagekuaje? acha mujitoa akili kipumbav wewe?Ina maana siku walipomaliza bifu lao hadi Makonda akaenda kufanya maombi nyumbani kwa Ruge na Ruge akaenda nyumbani kwa Makonda kumpongeza kwa kupata mtoto wewe ulikuwa haujazaliwa au umeamua kuwa mpumbavu kwa muda?
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ,Paul Makonda amemlilia Ruge machozi kama mtoto ndogo wakati wa shughuli ya kumuaga marehemu Katika ukumbi wa diamond Jubilee .Tukio hili limetokea muda mfupi uliopita ,takribani SAA moja iliyopita hivyo kuwashangaza watanzania, kwani bifu la makonda na Ruge linafahamika na kila mtu .Sasa buku kumlilia marehemu ambaye una uhusiano naye mbovu kimeshangaza sana .
Wewe nawe hivi unalipwa?? Yani kidampa kama koteee
Kila kifo kina sababu [emoji12][emoji12]Dah kadanja na pesa yake. Huu ugonjwa huu
Duh! Wabongo hapana kwakweli mwisho mtasema hajafa kafichwa kama ivan
Ndo Yale aliyoyafanya Putin akaambiwa mbaguzi ...leo mnathibitisha kuwa Tanzania no makaburiniKazaliwa kwa Trump
Kafia kwa Ramaphosa
Ruge hakuwa Na Tabia Za Misifa Za Kihaya
Wachache Sana ndio tulijua Kuwa Baba yake Ni Prof Na Mama yake Ni Dkt!
Hassan ngoma ndo mbeba sumu ? HEBU NYAMBULISHA,SIJAELEWA UNAMAANISHA NINI?Kumalizia bifu ndio akamtuma Hassan Ngoma ,kwa akili yenu nyie mataga mnafiri mambo yenu hayajulikani duniani Hanna siri kwa hiyo na Hassan Ngoma nae Amelia sana nyie mataga?