TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

waswahili bana

ruge na makonda walikuwa marafiki...wakagombana wakapata, Ruge mpaka anakufa walipendana na makonda!

Tatizo mnataka kutuaminisha kuwa mtaani watu huwa hawagombani na kupatana

au kuwa wale sio normal human being
Mkuu hawa vijana ni WAPUMBAVU sana.Wanaforce mambo ambayo hata hayana tija.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Mwenye ile video ya uvamizi katika studio ya clouds naomba kuna kitu nataka niangalie ili nijiĺithishe
 
Halmashauri ya Bukoba mjini kushirikiana na Bukoba Vijijini wameungana kurekebisha sehem korofi zote ambazo hazikuwa katika hali nzuri,

Barabara ya kuanzia Magoti mpaka njia panda ya Itahwa na Karabagaine ni eneo korofi sana ambalo limesumbua sana kwa muda mrefu,

Leo asubuhi wameanza kumwaga vifusi na ma bulldozer yapo yanaendelea na kazi,

Sikuwahi kujua Ruge kama ni mtu Mkubwa kiasi hiki,


 
Nimeshaeleza toka awali hiyo document ya mangd kimambi sihiitaji na huyo juhayna mkurugenzi wa prime time promotion namfahamu vyema sana.
.
Leta document ambayo umeitoa kwenye tovuti ya TCRA hapa wewe mwenyewe naona hapo umeleta Efm na geita tv nataka za wasafi

Ulivyo kiazi unadhani hio ni ya Mange Kimambi wakati ni Tangazo kutoka Gazeti la Mwananchi Wamiliki Wasafi TV waanikwa, hisa za Diamond ni asilimia 45

Unless useme Mwananchi sio chanzo Reliable pia
 
Jamaa uana ubishi wa kitoto na ujuaji mwingi!
Hilo tangazo lilikuwepo hapa JF na mitandao mingine mingi hadi magazetini.

Sijui ulikuwa wapi wakati linasambaa?
Tatizo mnaweka document ya mange kuna wadau humu wamenieleza niende kwenye tovuti ya TCRA hakuna lolote sasa ambas ni mjuaji unaejua lilete kama hutakuja na document ya mliwa ma*i sijui
 
53197056_173034527014619_1136699183752567706_n.jpg
53382044_266457817582273_3854749090719005582_n.jpg
53082648_471906253349392_7710427591586181627_n.jpg
 
kama unaujua vizuri mgawanyo wa hisa za wasafi tv naimani utaelewa vyema kuwa ni nani mwenye maamuzi ya mwisho katika maamuzi yote makubwa ya uendeshaji wa wasafi tv.
kwa mgawanyo wao wa hisa Diamond ana miliki si zaidi ya 45% ya hisa na Joseph Kusaga na mkewe wao wanamiliki zaidi ya 50% ya hisa zote za wasafi tv. hapo ni wazi kuwa maamuzi ya kutangazwa mubashara kwa msiba wa ruge mutahaba umefanywa na Joseph Kusaga mwenyewe na sio Diamond Platnumz. yeye atabakia kuwa ni share holder tu na sio mfanyamaamuzi.
Nani boss wa wasafi tv? Ni brand ya nani inatumika wasafi tv? Ushahidi wa mke wa kusaga kumiliki 53% unao ama una document ya mange? Unaufahamu utajiri wa Salam sk? Tafadhali majibu ya kiungwana
 
RC Makonda amesema kwa sasa hatasema lolote juu ya rafiki yake kipenzi Ruge Mutahaba.
Makonda amesema Ruge ni mtu muadilifu, mchapakazi na jasiri hivyo anashindwa namna ya kumuelezea na anazidi kumuomba Mungu ampe kibali na kwa kuwa ataenda Bukoba kwenye mazishi basi kwa neema ya Mungu akipata kibali ataweza kumuelezea rafiki yake huyu.

Source Clouds tv!
Makubwa, haya huo urafiki umeanza lini? leo?
 
Ina maana siku walipomaliza bifu lao hadi Makonda akaenda kufanya maombi nyumbani kwa Ruge na Ruge akaenda nyumbani kwa Makonda kumpongeza kwa kupata mtoto wewe ulikuwa haujazaliwa au umeamua kuwa mpumbavu kwa muda?
Kuna vitu watu hawavielewi wanafungwa na bifu zinazoendeshwa kwenye mitandao ya kijamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom