GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Wazee wa weka picha tuko mitamboni😂😂. Aseme kingineMkuu hautaki masiala umeweka ushahidi wote.
JF ina watu makini sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa weka picha tuko mitamboni😂😂. Aseme kingineMkuu hautaki masiala umeweka ushahidi wote.
JF ina watu makini sana.
Mkuu, unamaanisha Hassan ngoma yupo clouds kwa mkakatiKumalizia bifu ndio akamtuma Hassan Ngoma ,kwa akili yenu nyie mataga mnafiri mambo yenu hayajulikani duniani Hanna siri kwa hiyo na Hassan Ngoma nae Amelia sana nyie mataga?
Mkuu hawa vijana ni WAPUMBAVU sana.Wanaforce mambo ambayo hata hayana tija.waswahili bana
ruge na makonda walikuwa marafiki...wakagombana wakapata, Ruge mpaka anakufa walipendana na makonda!
Tatizo mnataka kutuaminisha kuwa mtaani watu huwa hawagombani na kupatana
au kuwa wale sio normal human being
Nimeshaeleza toka awali hiyo document ya mangd kimambi sihiitaji na huyo juhayna mkurugenzi wa prime time promotion namfahamu vyema sana.
.
Leta document ambayo umeitoa kwenye tovuti ya TCRA hapa wewe mwenyewe naona hapo umeleta Efm na geita tv nataka za wasafi
Tatizo mnaweka document ya mange kuna wadau humu wamenieleza niende kwenye tovuti ya TCRA hakuna lolote sasa ambas ni mjuaji unaejua lilete kama hutakuja na document ya mliwa ma*i sijuiJamaa uana ubishi wa kitoto na ujuaji mwingi!
Hilo tangazo lilikuwepo hapa JF na mitandao mingine mingi hadi magazetini.
Sijui ulikuwa wapi wakati linasambaa?
Hivi huyo Hassan Ngoma Bado yupo Clouds?Kumalizia bifu ndio akamtuma Hassan Ngoma ,kwa akili yenu nyie mataga mnafiri mambo yenu hayajulikani duniani Hanna siri kwa hiyo na Hassan Ngoma nae Amelia sana nyie mataga?
Nani boss wa wasafi tv? Ni brand ya nani inatumika wasafi tv? Ushahidi wa mke wa kusaga kumiliki 53% unao ama una document ya mange? Unaufahamu utajiri wa Salam sk? Tafadhali majibu ya kiungwanakama unaujua vizuri mgawanyo wa hisa za wasafi tv naimani utaelewa vyema kuwa ni nani mwenye maamuzi ya mwisho katika maamuzi yote makubwa ya uendeshaji wa wasafi tv.
kwa mgawanyo wao wa hisa Diamond ana miliki si zaidi ya 45% ya hisa na Joseph Kusaga na mkewe wao wanamiliki zaidi ya 50% ya hisa zote za wasafi tv. hapo ni wazi kuwa maamuzi ya kutangazwa mubashara kwa msiba wa ruge mutahaba umefanywa na Joseph Kusaga mwenyewe na sio Diamond Platnumz. yeye atabakia kuwa ni share holder tu na sio mfanyamaamuzi.
Makubwa, haya huo urafiki umeanza lini? leo?RC Makonda amesema kwa sasa hatasema lolote juu ya rafiki yake kipenzi Ruge Mutahaba.
Makonda amesema Ruge ni mtu muadilifu, mchapakazi na jasiri hivyo anashindwa namna ya kumuelezea na anazidi kumuomba Mungu ampe kibali na kwa kuwa ataenda Bukoba kwenye mazishi basi kwa neema ya Mungu akipata kibali ataweza kumuelezea rafiki yake huyu.
Source Clouds tv!
Ulivyo kitumbua chenye utoko unawajua hata wamiliki wa NMG wanaomiliki hilo gazeti ni watu wawapi?Ulivyo kiazi unadhani hio ni ya Mange Kimambi wakati ni Tangazo kutoka Gazeti la Mwananchi Wamiliki Wasafi TV waanikwa, hisa za Diamond ni asilimia 45
Unless useme Mwananchi sio chanzo Reliable pia
Sasa watafanyaje ndio mkuu wa mkoa huyo.Clouds wanajua sana kumnyenyekea nyapala makonda..hivi unampaje airtime mtu km huyo jaman...!shenji
Icheki YouTube... Halafu tupia humuMwenye ile video ya uvamizi katika studio ya clouds naomba kuna kitu nataka niangalie ili nijiĺithishe
Kuna vitu watu hawavielewi wanafungwa na bifu zinazoendeshwa kwenye mitandao ya kijamii.Ina maana siku walipomaliza bifu lao hadi Makonda akaenda kufanya maombi nyumbani kwa Ruge na Ruge akaenda nyumbani kwa Makonda kumpongeza kwa kupata mtoto wewe ulikuwa haujazaliwa au umeamua kuwa mpumbavu kwa muda?
Na lazima alie kuliko wafiwa.Ukitaka kumjua mchawi msibani.