TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Ina maana siku walipomaliza bifu lao hadi Makonda akaenda kufanya maombi nyumbani kwa Ruge na Ruge akaenda nyumbani kwa Makonda kumpongeza kwa kupata mtoto wewe ulikuwa haujazaliwa au umeamua kuwa mpumbavu kwa muda?
Haya ni maoni yako tu zuzu....Bashiye amuombee nani?labda kama alienda kupiga ramli chonganishi
 
I never asked anything from you.
Let's make it straight!

You can not educate me something your self would never know or comprehend.

As far as I can remember you were trying to make Haya people to follow your taboo, but it should be know to you by now that a taboo is not a universal law for every one to obey or comply with.

Can we call it off, now? You seem to be a nice person and I don't like to make enemies out of nice people.

BTW, I am not Haya.
By the way its very nostalgic to pursue and join hands of my super free culture and taboos for the low cursed figures. its absolutely non admirable some thing i never dream-of.
 
Ina maana siku walipomaliza bifu lao hadi Makonda akaenda kufanya maombi nyumbani kwa Ruge na Ruge akaenda nyumbani kwa Makonda kumpongeza kwa kupata mtoto wewe ulikuwa haujazaliwa au umeamua kuwa mpumbavu kwa muda?
Mpanga mipango ya kuteka na kuua watu leo amegeuka mwombeaji?Ni mazuzu kama wew wanaoweza kumuamini huyu naibu comedian!!
 
Liweke hapa hilo tangazo, hakuna kitu kama hicho duniani na hata mbinguni yani mimi nianzishe kampuni na wewe tukapewe leseni na TCRA alafu wao ndio watangaze kuwa wewe unahisa 50 nami 50 mbona haiingii akilini hiyo kitu jukumu lao ni kutangaza nani anamiliki nini na nani hamiliki nini au ni kutoa leseni?

Naomba nikusaidie ili siku nyingine kama hujui uulize.
Tulijadili sana hapa hilo Tangazo waliweka kuanzia Global Tv, Geita Tv na eFM/tv
20190302_172250.png
20190302_172224.png


Haikuishia hapo hata za wasafi Tv pia zililetwa humu
20190302_172155.png

Na kama humjui huyo Juhayna basi huyu hapa
20190302_172308.png

Cc Titicomb
 
View attachment 1035869
Ruge Mutahaba ameacha watoto 5. Mkubwa ni huyu Mwachi ambaye amesoma wasifu wa baba yake hapa.

Familia ya Ruge Mutahaba wamesema wanatambua Ruge aliwahi kuwakosea watu kwa kuwa yeye ni binadamu hajakamalika. Mtoto mkubwa wa Ruge amesema "Familia inaomba msamaha kwa niaba yake." Lakini pia wapo waliomkosea Ruge na pengine wapo wanaoendelea kumkosea. Familia imesema "TUMEWASAMEHE WOTE....TUENDELEE MBELE"
Huyu dogo mbona shujaa kama mkurya mkurya hivi!. mama yake mtu wa wapi ebu wana jamvi mnidokeze isije ikawa aliiba mbegu.
 
Ina maana siku walipomaliza bifu lao hadi Makonda akaenda kufanya maombi nyumbani kwa Ruge na Ruge akaenda nyumbani kwa Makonda kumpongeza kwa kupata mtoto wewe ulikuwa haujazaliwa au umeamua kuwa mpumbavu kwa muda?
angemuua na ile mitutu ya bunduki inagekuaje? acha mujitoa akili kipumbav wewe?
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ,Paul Makonda amemlilia Ruge machozi kama mtoto ndogo wakati wa shughuli ya kumuaga marehemu Katika ukumbi wa diamond Jubilee .Tukio hili limetokea muda mfupi uliopita ,takribani SAA moja iliyopita hivyo kuwashangaza watanzania, kwani bifu la makonda na Ruge linafahamika na kila mtu .Sasa buku kumlilia marehemu ambaye una uhusiano naye mbovu kimeshangaza sana .

waswahili bana

ruge na makonda walikuwa marafiki...wakagombana wakapata, Ruge mpaka anakufa walipendana na makonda!

Tatizo mnataka kutuaminisha kuwa mtaani watu huwa hawagombani na kupatana

au kuwa wale sio normal human being
 
Back
Top Bottom