TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hajawahi kuwaona wakenya na wanigeria huyo.

Mi sioni kama kujisifia ni dhambi useme Tu wahaya wakijisifia wanajiona inferior mbele ya wahaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajiamini nini hakuna kitu babu yenu Julius aliwakomboa msimezwe na Idd amini sasa hivi mngekuwa sehemu ya Uganda km mngelinga ivo??? lazima tu . mngekiona cha moto na lile jamaa li-IDD Lilikuwa korofi sana halioni shida kuteketeza kabila zima. kama unabisha waulize Wa-acholi. na Wa-Hindi walivopata kichapo cha mbwa mwizi. mngeimba Amin sikamoo Baba eeetu! Ushauri tu hii coffin ingeanzia kuagwa mwitongo ndani ya Butiama hapo mpate baraka yaani msife tena. si mjaribu tuuu!!
 
Na muda ukifika Mungu atamwambia akiri kuwa yeye ni Daud Albert Bashite aliyepata division zero kwenye mtihani wa kidato cha nne na siyo Paul Christian Makonda
 
Kwani Mungu huwa anazungumza naye?
Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 
kimada mpaka wanazalishanaaaa
Wewe mwana weeee,kila mutu ya hapa Duniani Hapa walianza ukimada, ndo wakaendelea na ndoa zenu hizo sasa wewe jifanye msabato kwa sana upate total hysterectomy au uvimbe wa kudumu afu upigwe chuma cha Bagamoyo huchomoki kamwe. bongo ya leo uoe bila kuonja. kwanza mke mwenyewe huyo, unaye muita kimada atakustukia mapemaa asije akaolewa na joka la kibisa.hapo safi sana kamanda alicheza winga uzuri
 
Guilt consciousness
Atataabika sana
Young man WaTz wanajua unyama wako. Umekosa utu kabisa kwa WaTz
Time will tell
Malipo yako kwa Mungu
Unaopigana nao wanapigana vita vya kiroho sio vya damu na nyama
Roho wa Mungu ni uvuli kwao wao uliowatendea mabaya
Stop acting dude this is serious issue...

***RIP Ruge uwe na safari njema Mungu akupokee Tuonane mtoni!
 
Pumzika kokote ulipo Ruge, nimegundua kuwa sio lazima uwe Mbunge ndio utumikie wananchi! Waliotoka kimaisha kupitia kwake wanaelewa nlichokiandika. Nasi tujitahidi kuishi maisha yatakayoacha alama mioyoni kwa watu wengi. Mbele yetu nyuma yake....
 
Hata kwa Lisu angefanya namna hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshaeleza toka awali hiyo document ya mangd kimambi sihiitaji na huyo juhayna mkurugenzi wa prime time promotion namfahamu vyema sana.
.
Leta document ambayo umeitoa kwenye tovuti ya TCRA hapa wewe mwenyewe naona hapo umeleta Efm na geita tv nataka za wasafi
 
angemuua na ile mitutu ya bunduki inagekuaje? acha mujitoa akili kipumbav wewe?
Uliambiwa makonda alienda kuua mtu?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…