TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hicho kilio cha kutoka moyoni au cha kinafiki ,yaani mtu um..... halafu umlilie inaingia akilini .
 
Hakika Ruge mwendo ameumaliza.
Aliyaishi maisha yake, na kupitia hayo wengi aliwagusa.
Kifo chake kimeacha simanzi na huzuni kubwa kwa wengi waliomfahamu na wasio mfahamu.
Tunapoomboleza kifo chake, ni sala zangu kuwa Mungu mwenye enzi na mamlaka yote, aipokee roho ya marehemu na kumpumzisha mahali pema peponi.
Kwaheri Boss Ruge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo tuliyazoea wakati ule wa mbio za mwenge na mara chache viongozi wa ngazi za kitaifa kama Rais, nk walipotangaza ziara zao mikoani. Siyo mbaya, wananchi wa hayo maeneo hawatakuja kuusahau ule msemo wa "kufa kufaana" baada ya barabara yao korofi kutengenezwa ili apite shujaa wa Taifa!
 
Hassan ngoma ndo mbeba sumu ? HEBU NYAMBULISHA,SIJAELEWA UNAMAANISHA NINI?
kuna thread humu humu mtu alisema kuwa ngoma ndie aliepewa hiyo sumu akamuwekea marehem!hiyo thread ina heading"watangazaji wa 360 wawaponda lissu na zito"!Itafute hiyo humu ndani kuna mtu ndo kaeleza mambo yanayotatanisha sana
 
kuna thread humu humu mtu alisema kuwa ngoma ndie aliepewa hiyo sumu akamuwekea marehem!hiyo thread ina heading"watangazaji wa 360 wawaponda lissu na zito"!Itafute hiyo humu ndani kuna mtu ndo kaeleza mambo yanayotatanisha sana
Aisee
 
Tatizo mnaweka document ya mange kuna wadau humu wamenieleza niende kwenye tovuti ya TCRA hakuna lolote sasa ambas ni mjuaji unaejua lilete kama hutakuja na document ya mliwa ma*i sijui
Mkuu usijiabishe kiasi hiki.
Umesema TCRA hawawezi kuweka tangazo kama hilo ambalo linaonesha hisa za wamiliki lakini jamaa kakuwekea matangazo kama hayo ambayo bado yapo kwenye archive ya TCRA online unadai uletewe tangazo la Wasafi TV likiwa kwenye tovuti ya TCRA.

Kama haujajipa muda kutafuta habari mitandaoni na maktaba zingine bora unyamaze.

News media kubwa kama mwananchi nao huwaamini? Wanaweza kuweka habari kubwa namna hiyo bila kuthibitisha uhalisi au ukweli?

Soma hiyo link chini
Wamiliki Wasafi TV waanikwa, hisa za Diamond ni asilimia 45
 
Itakuwa anajuta sumu haijamtesa muda mrefu ilivyokusudiwa
 
waswahili bana

ruge na makonda walikuwa marafiki...wakagombana wakapata, Ruge mpaka anakufa walipendana na makonda!

Tatizo mnataka kutuaminisha kuwa mtaani watu huwa hawagombani na kupatana

au kuwa wale sio normal human being
Bashite ni muuaji na dhambi zake zote atakaezibaba ni hicho kitoto chake cha kichina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…