TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Apumzike kwa Amani Ruge Mutahaba.
 
Kweli ya Mungu mengi! Haya Tumesikia.
 
Apumzike kwa amani! Pole wanafamilia, poleni clouds, poleni wasanii, pole Zamaradi kwa kuondokewa na mzazi mwenzio.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rest in peace Ruge, umemaliza safari yako hapa duniani
 
Pole nyingi kwa familia ndugu jamaa na marafiki. Tutaonana Kristo arudipo mara ya pili kama alilala upande wake

Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe
 
r.i.p genous ruge,,


ila nini toka moyoni sijafurahia wala sijaumia
 
Mungu awape subira ndugu wa marehemu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…