TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Msiba wa Ruge umepewa uzito Kwa kutumia Clouds media Na wala siyo kwamba msiba ulikuwa mzito namna hiyo, cha kushangaza watu wengi walikuwa hawamjui ila kutokana Na media Coverage imelazimisha watu wamjue

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Tupo njiani tunaelekea kijijini kwa Ruge full nyomi
Yaani huyu Ruge hapana kwa kwelii!!!!hapanaaa.....ameshika mioyo ya watu nafikiri hata haters wanaona aibu sasa maana mtu mbaya angeliliwa na watu wengi hivi!!!!

Kuna watu waliko wanaona haya mj nasema tena balaa...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona ee dear kwa kweli kuna picha anatabasamu wakiionyesha najisikia vibayaaa lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…