TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Amani kwako.

Katika hali ambayo wale great thinker wanaweza kuona kwa njia yoyote unaweza kuangalia kilichofanyika na kinachoendelea kufanyika katika msiba wa ndugu na Mtanzania mwenzetu Ruge.

Baadhi ya watu hawakuweza kumfaham na wengine wanauliza kitaifa alikuwa ni nani huyu hata kulifanya taifa kuzizima na kumfuatilia kwa kiasi hiki.

Media coverage imefanya kazi yake na hii ndiyo nguvu ya chombo cha habari.
Kwani ndo mwanahabari wa kwanza kufariki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazishi ya Ruge ndio yanatuonyesha uwezo wa clouds FM wa kulikuza hata jambo dogo likawa kubwa.
Msiba wa Ruge unaweza kuwa mkubwa lakini sio kwa namna ulivyoratibiwa na wazee wa fitna clouds FM na kuwa na ukubwa ule hadi DW na BBC wakaudaka huko majuu. hence msiba huko overrated sana utafikiri Kama kafa kambarage vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wananzengo bado mpo? Mwenzenu niko hoi jana nimekanyagana na akina Hamissa msibani naumwaaaa.

Ila nilifaidi haki, sidhani kama kuna event nyingine unayoweza kuwaona mastar wote kama ile! Jana nimekutana na wambea wengine huko basi msiba ulikuwa motoooo.
Unalia ukimaliza unapiga umbea.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Usiwadanganye wadau ambao hawakufika ulikanyagana na hamisa au local wenzio? Maana wao walikuwa na walinzi wao binafsi sasa tueleze mazingira ya kukanyagana nae
 
Nafikiri hii ndio sababu wanasiasa wameuchulia huu msiba kama fursa
Mazishi ya Ruge ndio yanatuonyesha uwezo wa clouds FM wa kulikuza hata jambo dogo likawa kubwa.
Msiba wa Ruge unaweza kuwa mkubwa lakini sio kwa namna ulivyoratibiwa na wazee wa fitna clouds FM na kuwa na ukubwa ule hadi DW na BBC wakaudaka huko majuu. hence msiba huko overrated sana yaani Kama kafa kambarage vile.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wananzengo bado mpo? Mwenzenu niko hoi jana nimekanyagana na akina Hamissa msibani naumwaaaa.

Ila nilifaidi haki, sidhani kama kuna event nyingine unayoweza kuwaona mastar wote kama ile! Jana nimekutana na wambea wengine huko basi msiba ulikuwa motoooo.
Unalia ukimaliza unapiga umbea.

Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]haya tupe za msibani huko my dear hapa navuja mate kwa ubuyuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi sasa Wasafi tv wako live (mubashara) kwenye ukumbi wa karimjee kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji wa vipindi vya clouds.
.
Sasa wale ndugu zangu ambao mna chuki na Diamond Platnumz mliokuwa mkimsema kuwa hajaguswa na lolote semeni tena
Kusaga ana hisa nyingi zaidi pale wasafi, akisema rusha itarushwa tu Diamond hawezi sema chochote
 
Back
Top Bottom