TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Sababu nyingine ni msaada wa Ruge kwenye kampeni Muhimu za Ccm 2015, Ruge aliratibu kutengeneza majukwaa Yote na akaleta wasanii wote kwa ajili ya kuperfom kila mkoa Ccm ilipofanyia kampeni zake. Hakuishia hapo akaenda redion kufanya fitna za kukipamba chama.

Mbali na mengineyo ni ukweli usiopingika Ruge alifanya kazi kubwa sana kuwaweka Ccm wawe hapo walipo leo. Ndio reason magufuli anamuitaga Ruge "kijana wangu" aliplay role kubwa kuhakikisha magufuli anakuwa Rais. The same na kwa kikwete.

Ndio maana Ruge ni zaidi ya makada wengi akiwa hajawahi kuvaa gwanda za uvccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaap walikua wanaishi wote kilichoshindikana kuwa pamoja ni dini mi ndo naona kubwa hilooo maana uhuni wa Ruge alikua anaujua toka zamani sana na alikua na mdada mjamzito kipindi zama ana mimba ya shubi kadada kale kanaitwa Beatrice kama sikosei kalimrusha roho Zama mpk kuvaa mashati ya Ruge anarusha Instagram yaani yule Dada hapana kwakweli...alivyojifungua akatemwa Bibie akaanza kumtukana Ruge sasa...[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]tafrani tupu mjini hapa!

Zama alivyoona Ruge si muoaji ndo akaanza kudate na shabani kisirisiri akamhama Ruge alivyojifungua shubi mpk siku anaolewa Ruge hajui chochote hakwenda fiesta ya Tabora km sikosei watu wanaona ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Beatrice anajiita nani insta?

Ndo huyo mdada mweusi alijifunga kilemba cheusi alikuwa na mtoto?

Huyo mke wa Romy Jones mbona kaumia hivyoo?

Hivi Zama anapatana na wazazi wa Ruge kweli?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazishi ya Ruge ndio yanatuonyesha uwezo wa clouds FM wa kulikuza hata jambo dogo likawa kubwa.
Msiba wa Ruge unaweza kuwa mkubwa lakini sio kwa namna ulivyoratibiwa na wazee wa fitna clouds FM na kuwa na ukubwa ule hadi DW na BBC wakaudaka huko majuu. hence msiba huko overrated sana yaani Kama kafa kambarage vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Media ina nguvu kubwa ya kusway na kumanipulate public opinion.Nimewahoji watu kadhaa kutaka kujua sababu za wao kuguswa na msiba huo,wengi wameguswa kutokana na influence ya media tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]haya tupe za msibani huko my dear hapa navuja mate kwa ubuyuuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza nilipofika nilikuwa hapo, akina Noel na Zuhra waleeee
IMG_9133.JPG


Baadae nikahamia jukwaa kuu, huko ndio mastar walikuwa wa kumwaga. Hiyo show ya akina Bella na Msechu ilipoisha tu ndio Diamond akaingia.
IMG_9137.JPG


Hamissa na wenzie akina Batuli (naona ushoga umekolea kwelikweli [emoji12]) tulikanyagana wakati wa kwenda kuaga, nilipoona fujo nikamuambia mwenzangu tukakae tusubiri fujo liishe mara akina Hamissa nao wakaja kukaa pembeni yetu.
Kusema ukweli Hamissa mzuri sana, watu wanasemaga ni editing zinambeba lakini hapana aiseeee.
Kazuri kweli.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kusaga ana hisa nyingi zaidi pale wasafi, akisema rusha itarushwa tu Diamond hawezi sema chochote

Jamani mwasu nimekumissssssss
Kwenye ile thread ya mji mzito nilitaka kukuita maana na wewe kwa ubuyu nakuvulia kofia nikasahau.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Celebrities Forum
Siku Diamond akifa kwa Kansa baada ya kupitia mateso na kuomba michango
Thread starterKasinja jr Start dateA moment ago
Tags None Edit



UNWATCH •••
Kasinja jr
Kasinja Jr
JF-Expert Member
A moment ago
#1
Siku akiwa kitandani hoi, anaanza kukumbuka hasa wangapi kawazunguka na kuwadhulumu kama Ommy dimpoz, ndo ataanza kuwaza kumbe kulikuwa na umuhimu wa kumsamehe baba yake mzazi na kuacha yaliyopita , ndo atakumbuka kwamba kumbe hata mademu waliompenda kwa muda huo ilikuwa ni umaarufu na matangazo ya kwenye media,

Siku ambayo atakuwa kitandani huku mama yake amejifunika kanga ameshasahau safari za South Africa na kusahau raba anazotesea muda huu, kuna siku atakumbuka kwamba kumbe mimi kama Mama nilipaswa kumuongoza mwanangu sikupaswa kuwa mama wa kibongo fleva, ndipo atakumbuka kwamba kwanini sikukemea ule uongo wa mwanangu juu ya Baba yake na waliomzunguka,

Kipindi hicho kama Bado.Wasafi TV itakuwapo ndo watakuwa wanatoa tangazo la kumchangia kupitia benk ili matibabu yaweze kugharamiwa,

Nasikitika kuna watakaokuwa wanakubeza usishangae hata akina Raynavy na Harmonise wakasusa hata kuja hospitalini kukuangalia,

Utakumbuka kwamba bora ungeenda kwa Mutahaba,

Kipindi hicho magazeti yatakuwa yamekuandika mara kadhaa hata YouTube zipo nyingi habari zako,

Kuna Maisha baada ya matukio na umaarufu
Dua la kuku........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom