TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Kwani ndo mwanahabari wa kwanza kufariki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazishi ya Ruge ndio yanatuonyesha uwezo wa clouds FM wa kulikuza hata jambo dogo likawa kubwa.
Msiba wa Ruge unaweza kuwa mkubwa lakini sio kwa namna ulivyoratibiwa na wazee wa fitna clouds FM na kuwa na ukubwa ule hadi DW na BBC wakaudaka huko majuu. hence msiba huko overrated sana utafikiri Kama kafa kambarage vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwadanganye wadau ambao hawakufika ulikanyagana na hamisa au local wenzio? Maana wao walikuwa na walinzi wao binafsi sasa tueleze mazingira ya kukanyagana nae
 
Nafikiri hii ndio sababu wanasiasa wameuchulia huu msiba kama fursa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]haya tupe za msibani huko my dear hapa navuja mate kwa ubuyuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi sasa Wasafi tv wako live (mubashara) kwenye ukumbi wa karimjee kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji wa vipindi vya clouds.
.
Sasa wale ndugu zangu ambao mna chuki na Diamond Platnumz mliokuwa mkimsema kuwa hajaguswa na lolote semeni tena
Kusaga ana hisa nyingi zaidi pale wasafi, akisema rusha itarushwa tu Diamond hawezi sema chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…