Mission town wake atamlipia....si mtoto wa PM yuleHana namnaa asionekane ameyumba kimaisha ila cha moto atakiona kiukweli Zama anaumia sanaaaaa basi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]nakuvulia kofia aise khaa hahajajajahha....wapi bibie zama
Hao wengine mbona hawajajengewa nyumba? Miradi?Yaap Tena Zama amemfaidi sana Ruge mnoo!! Na yule Kay na Beatrice
Hata maisha ya watoto wa Zama yako vzr mnoo kulinganisha na hao wengine!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Beatrice anajiita nani insta?Yaap walikua wanaishi wote kilichoshindikana kuwa pamoja ni dini mi ndo naona kubwa hilooo maana uhuni wa Ruge alikua anaujua toka zamani sana na alikua na mdada mjamzito kipindi zama ana mimba ya shubi kadada kale kanaitwa Beatrice kama sikosei kalimrusha roho Zama mpk kuvaa mashati ya Ruge anarusha Instagram yaani yule Dada hapana kwakweli...alivyojifungua akatemwa Bibie akaanza kumtukana Ruge sasa...[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]tafrani tupu mjini hapa!
Zama alivyoona Ruge si muoaji ndo akaanza kudate na shabani kisirisiri akamhama Ruge alivyojifungua shubi mpk siku anaolewa Ruge hajui chochote hakwenda fiesta ya Tabora km sikosei watu wanaona ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Media ina nguvu kubwa ya kusway na kumanipulate public opinion.Nimewahoji watu kadhaa kutaka kujua sababu za wao kuguswa na msiba huo,wengi wameguswa kutokana na influence ya media tu.Mazishi ya Ruge ndio yanatuonyesha uwezo wa clouds FM wa kulikuza hata jambo dogo likawa kubwa.
Msiba wa Ruge unaweza kuwa mkubwa lakini sio kwa namna ulivyoratibiwa na wazee wa fitna clouds FM na kuwa na ukubwa ule hadi DW na BBC wakaudaka huko majuu. hence msiba huko overrated sana yaani Kama kafa kambarage vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]....jamani jf[emoji134][emoji16][emoji16]😀😀😀😀😀 alaaah sikuona kumbeee NIMEKOMA
Nilikaa nje, yeye alikuwa ndani. Kule ndani hakukuwa na issue yoyote mwenzangu. Ubuyu ulikuwa nje
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe wasemaKama walikuwa Watumishi wa Umma wanahaki ya kugombea kitita toka kwa Mhe.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]haya tupe za msibani huko my dear hapa navuja mate kwa ubuyuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂wity huelewi vitu ving eh..zama si ana duka.la nguo za watoto
Binadamu wanafki sana sanaa[emoji848][emoji848]....Angalau itokee isemwe kuwa watoto watakuwa ktk misingi ganiAiseee hata wale waliojiita marafiki mstari wa mbele kupokea mwili eapoti hawajagusia suala la watoto jamani
Kusaga ana hisa nyingi zaidi pale wasafi, akisema rusha itarushwa tu Diamond hawezi sema chochote
Hajawahi kukupitia kweli marehemu?Msiba huu umenikuta Bukoba ,kashasha, sasa ntalazimika kufika,
This guy was smart for sure
Mtutue banaaaa. Mnatusakama sana.
Sio sifa. Tunajiamin. Hutaki unaach
Kutojiamin kwenu kunawafanya mtuone tuna misifa, tunaringa.
Hivi nikiringa au nikiwa na misifa nakupunguzia nini?.
Kama wahaya wanaringa- waganda, wanyaru, wanigeria wanafanyeje?.
Dua la kuku........Celebrities Forum
Siku Diamond akifa kwa Kansa baada ya kupitia mateso na kuomba michango
Thread starterKasinja jr Start dateA moment ago
Tags None Edit
UNWATCH •••
Kasinja jr
Kasinja Jr
JF-Expert Member
A moment ago
#1
Siku akiwa kitandani hoi, anaanza kukumbuka hasa wangapi kawazunguka na kuwadhulumu kama Ommy dimpoz, ndo ataanza kuwaza kumbe kulikuwa na umuhimu wa kumsamehe baba yake mzazi na kuacha yaliyopita , ndo atakumbuka kwamba kumbe hata mademu waliompenda kwa muda huo ilikuwa ni umaarufu na matangazo ya kwenye media,
Siku ambayo atakuwa kitandani huku mama yake amejifunika kanga ameshasahau safari za South Africa na kusahau raba anazotesea muda huu, kuna siku atakumbuka kwamba kumbe mimi kama Mama nilipaswa kumuongoza mwanangu sikupaswa kuwa mama wa kibongo fleva, ndipo atakumbuka kwamba kwanini sikukemea ule uongo wa mwanangu juu ya Baba yake na waliomzunguka,
Kipindi hicho kama Bado.Wasafi TV itakuwapo ndo watakuwa wanatoa tangazo la kumchangia kupitia benk ili matibabu yaweze kugharamiwa,
Nasikitika kuna watakaokuwa wanakubeza usishangae hata akina Raynavy na Harmonise wakasusa hata kuja hospitalini kukuangalia,
Utakumbuka kwamba bora ungeenda kwa Mutahaba,
Kipindi hicho magazeti yatakuwa yamekuandika mara kadhaa hata YouTube zipo nyingi habari zako,
Kuna Maisha baada ya matukio na umaarufu
Siyo watatu ni watanokwa sasa hakuwa na mke maana mke wake aliolewa na mwanaume mwingine , japo ana watotot watatu
Ahaaaaaahaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....nalijua sana si lile liko shoppers plaza mikocheni?[emoji23][emoji23][emoji23]wity huelewi vitu ving eh..zama si ana duka.la nguo za watoto
Ruge alikuwa anakuona kabla haujaona....najiulizaga kwani jay dee hakuziona radio nyingine kama EA RADIO AU RADIO ONE ? kwanini aliamini kwamba clouds ndo ya kumtoa??
So unamaanisha kufa kufaana sio?
Amekufa yeye ila Nshomile wenzake mliobaki mnajengewa barabara.....