TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Uzuri ushasema unamfahamu kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Beatrice anajiita nani insta?

Ndo huyo mdada mweusi alijifunga kilemba cheusi alikuwa na mtoto?

Huyo mke wa Romy Jones mbona kaumia hivyoo?

Hivi Zama anapatana na wazazi wa Ruge kweli?



Sent using Jamii Forums mobile app
Ananiita cabynedvarda Beatrice!!! Ndo huyo keusi hivi!!

Mke wa Rommy kuumia masti Ruge alikua anajali wanawe hivi yule anasimamia shoo zote!!
Huyu bite baada ya kuachwa akaanza nyodo,matusi na kejeli daily!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru umeliona Hamisaa mzuri mnooo!!!kuna mdogo wangu alikua anamponda siku alipomuonaa alinyoosha mikono juu akasema yule dada Hamisa chombooo Haya tuendelee na umbeaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaaaaaahaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....nalijua sana si lile liko shoppers plaza mikocheni?

Sasa mle ndo patapatikana ada 14m kweli??[emoji134][emoji134][emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji6][emoji6]!!!!!jamaniii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
clouds bana kama kuna kitu wanajua ....ni kufanya promo / marketting......jambo lao lazima litakua la nchi nzima (thanx to the late ruge)...yani hyo fiesta ukiisikia inavyotangazwa na ukienda kuionaa....unaweza baki mdomo wazi!...we jiulize tuu clouds wameajiri watu wangapi...lakini ni ma elfu ya wa tz wana mrefer to jamaa as "boss ruge"....yani ukiangalia tv hapa juzi baada ya msiba...unaweza jukuta unalia unajiuliza ivi bila boss ruge mimi ningekua wapia aisee.....baadae akili zikikurudia ndio unasema "allah, ivi mimi kumbe ni mwalimu tuu washule ya msingi fulani , hata Ruge mwenywe nilikua simjui,,,shetani shidwaaa!"
 
Ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Professional hakuwa mwanahabari ila kutokana na kuwa part of news bureau inaonekana kwa wengi kama ni mwanahabari.

But hapa tunaongelea nguvu ya chombo cha habari jinsi kilivyomkweza pia Official State kuwepo pale ni kwa lipi?
Kwani ndo mwanahabari wa kwanza kufariki?
 
Nimekupm mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…