Yaap mkewe,mondi na sijui nani!CMG ni ya familia ya Kusaga anataka amiliki cha kwake na ndo maana kampa ushea holder mkewe ili ionekane ya mkewe sio yake!Oooh kwamba CMG ina nyomi ya mashareholders....while wasafi ni private stake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuseme ukweli jomoni[emoji848][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji6][emoji6]!!!!!jamaniii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kweli asee...Kwa kua baba yao alikua anasimamia shoo zote pale yeye yuko tu km picha sasa hv ndo atajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna demu mmoja alituchekesha sana eti 'mpendwa' wetu akiwa hai, akiwa anaku.....mba, anakwambia " mage nime...mba vizuri eeh, umefurahia eeeh? Basi nizalie mtoto[emoji23]" with that sweet tongue unashusha engine!
Ahaaaaaahaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....nalijua sana si lile liko shoppers plaza mikocheni?
Sasa mle ndo patapatikana ada 14m kweli??[emoji134][emoji134][emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
unachosema my dear ni kweli nimewah shuhudia mbaba na mtoto wa kamboa akaacha kbs kuangalia news usk mke anapeleka msos chumban kisa mdada kamleta mwanaye alozaa na jamaa😊😊iliumiza sana ..wana roho mbaya sana sana sana sana sana ..anaweza mnyanyasa mwanao kihisia..bora sie
Wewe nae unapotea sana siku hizi, halafu sijui why JF nimekuwa mzito kweli kweli kuingia..Msiba ndio umenileta leo maana insta naona hapana issue, nilitaka kujua watu wanasemaje kuhusu mjane mjuaji, maana huyu mvujisha siri za baba watoto nilimtapika kabisa.Jamani mwasu nimekumissssssss
Kwenye ile thread ya mji mzito nilitaka kukuita maana na wewe kwa ubuyu nakuvulia kofia nikasahau.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ha ha haaclouds bana kama kuna kitu wanajua ....ni kufanya promo / marketting......jambo lao lazima litakua la nchi nzima (thanx to the late ruge)...yani hyo fiesta ukiisikia inavyotangazwa na ukienda kuionaa....unaweza baki mdomo wazi!...we jiulize tuu clouds wameajiri watu wangapi...lakini ni ma elfu ya wa tz wana mrefer to jamaa as "boss ruge"....yani ukiangalia tv hapa juzi baada ya msiba...unaweza jukuta unalia unajiuliza ivi bila boss ruge mimi ningekua wapia aisee.....baadae akili zikikurudia ndio unasema "allah, ivi mimi kumbe ni mwalimu tuu washule ya msingi fulani , hata Ruge mwenywe nilikua simjui,,,shetani shidwaaa!"
Wewe nae unapotea sana siku hizi, halafu sijui why JF nimekuwa mzito kweli kweli kuingia..Msiba ndio umenileta leo maana insta naona hapana issue, nilitaka kujua watu wanasemaje kuhusu mjane mjuaji, maana huyu mvujisha siri za baba watoto nilimtapika kabisa.
Ata mimi zaidi ya kusoma jf na kusikia katika vyombo vya habariHonestly sijajihusisha kabisa na huu msiba. Nilichofanya mimi baada ya kusikia habari ya kifo tena kupitia hapa jf niliandika R.I.P.
Sijui hata nini kinachoendelae....
Sent using Jamii Forums mobile app
PointNadhani walio hudhuria wanasababu zao.
For me, it's a little bit confusion as well.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanaumizwa sana na upendo ulioonyeshwa na jamii kwa marehemu Rugebila Ruge neno ARI MPYA NGUVU MPYA NA KASI MPYA LISINGEKUWA VILE, bila Ruge HAPA KAZI TU isingekuwa vile na hata kuna memngi nje ya vimaneno vya kampeni,
Je wajua kupitia kampeni mbali mbali za Ruge watoto wenye matatizo ya moyo zaid ya 150 wamefanyiwa upasuaji,
Wajua kwamba kupitia Ruge watu wamepata ufadhili katika masomo yao,?
Wajua Ruge ndo kawainua vijana wengi ambao leo wanajitunisha kwake?
wajua kwamba Ruge ni mtu ambaye alishirikiana na viongozi waliopita kwenye biashara ya ..............
alafu ni shushushu alofanya mambo kadhaaa naishia hapa ulale huko ulipo
Binafsi Ruge namfahamu kama mkurugenzi wa vipindi vya clouds,sifa yake kubwa labda ni kuanzisha fiesta na kuisimamia pamoja na hayo tumesikia vimaneno kutoka kwa sugu,jay dee na baadae diamond,sijajua alikua na wadhifa gani maana nimeona mazishi yake yamehudhuriwa na maraisi wote wawili,mawaziri wakiongozwa na waziri mkuu,mkuu wa mkoa wa dar es salaam,viongozi wa dini na kila aina ya public figure,kwa kumfahamu kwangu kudogo naona kama kawa overated,kwa wanaomfahamu vizuri naomba wanifumbue macho what am i missing about this guy.RIP RUGE.
Sent using Jamii Forums mobile app