TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hakuna msiba mkubwa wala mdogo tofauti ni kujulikana tu. Haya yote yanapita binadamu watakuzika watakupa mgongo na hapo ndio mwanzo wa kukusahau watakao baki na wewe katika nafsi zao ni ndugu na watoto hata wake au wanaume wataowa na kuolewa. Kujifunza hapa ni matendo yako na Mungu sababu wewe huongei tena basi family ndio wa kukuombea tu. ukubwa wa mazishi au watu kulia ni kuwa wengine wanalia kwa sababu fulani analia au kaongea neno la kusikitisha au kuonekana kalia ila wanaokujuwa wachache na wanaokupenda wachache. hata hao vipenzi wako hawatakaa na wewe watakupelea kukuhifadhi kwengine wala sio kwako nyumba uliyojenga na wengine watakuogopa kusogelea jeneza tu na hata jina hutaitwa tena, unathamani ukiwa unapumua tu zaidi ya hapo utaanza kutengwa siku pumzi ikikata tu na wengine wakianza kuumwa tu marafiki wanapungua. fanya mema tu ukubwa hausaidii kitu wa mazishi.
 
Weeeee!!!!hakuna viumbe wenye roho mbaya kama wababa wa kamboo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
unachosema my dear ni kweli nimewah shuhudia mbaba na mtoto wa kamboa akaacha kbs kuangalia news usk mke anapeleka msos chumban kisa mdada kamleta mwanaye alozaa na jamaa😊😊iliumiza sana ..wana roho mbaya sana sana sana sana sana ..anaweza mnyanyasa mwanao kihisia..bora sie
 
Jamani mwasu nimekumissssssss
Kwenye ile thread ya mji mzito nilitaka kukuita maana na wewe kwa ubuyu nakuvulia kofia nikasahau.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe nae unapotea sana siku hizi, halafu sijui why JF nimekuwa mzito kweli kweli kuingia..Msiba ndio umenileta leo maana insta naona hapana issue, nilitaka kujua watu wanasemaje kuhusu mjane mjuaji, maana huyu mvujisha siri za baba watoto nilimtapika kabisa.
 
clouds bana kama kuna kitu wanajua ....ni kufanya promo / marketting......jambo lao lazima litakua la nchi nzima (thanx to the late ruge)...yani hyo fiesta ukiisikia inavyotangazwa na ukienda kuionaa....unaweza baki mdomo wazi!...we jiulize tuu clouds wameajiri watu wangapi...lakini ni ma elfu ya wa tz wana mrefer to jamaa as "boss ruge"....yani ukiangalia tv hapa juzi baada ya msiba...unaweza jukuta unalia unajiuliza ivi bila boss ruge mimi ningekua wapia aisee.....baadae akili zikikurudia ndio unasema "allah, ivi mimi kumbe ni mwalimu tuu washule ya msingi fulani , hata Ruge mwenywe nilikua simjui,,,shetani shidwaaa!"
Ha ha haa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nae unapotea sana siku hizi, halafu sijui why JF nimekuwa mzito kweli kweli kuingia..Msiba ndio umenileta leo maana insta naona hapana issue, nilitaka kujua watu wanasemaje kuhusu mjane mjuaji, maana huyu mvujisha siri za baba watoto nilimtapika kabisa.

😂😂😂😂unajitambua..mwanamke timamu huez fanya vile
 
bila Ruge neno ARI MPYA NGUVU MPYA NA KASI MPYA LISINGEKUWA VILE, bila Ruge HAPA KAZI TU isingekuwa vile na hata kuna memngi nje ya vimaneno vya kampeni,

Je wajua kupitia kampeni mbali mbali za Ruge watoto wenye matatizo ya moyo zaid ya 150 wamefanyiwa upasuaji,
Wajua kwamba kupitia Ruge watu wamepata ufadhili katika masomo yao,?
Wajua Ruge ndo kawainua vijana wengi ambao leo wanajitunisha kwake?
wajua kwamba Ruge ni mtu ambaye alishirikiana na viongozi waliopita kwenye biashara ya ..............
alafu ni shushushu alofanya mambo kadhaaa naishia hapa ulale huko ulipo
 
Kuna watu wanaumizwa sana na upendo ulioonyeshwa na jamii kwa marehemu Ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi Ruge namfahamu kama mkurugenzi wa vipindi vya clouds,sifa yake kubwa labda ni kuanzisha fiesta na kuisimamia pamoja na hayo tumesikia vimaneno kutoka kwa sugu,jay dee na baadae diamond,sijajua alikua na wadhifa gani maana nimeona mazishi yake yamehudhuriwa na maraisi wote wawili,mawaziri wakiongozwa na waziri mkuu,mkuu wa mkoa wa dar es salaam,viongozi wa dini na kila aina ya public figure,kwa kumfahamu kwangu kudogo naona kama kawa overated,kwa wanaomfahamu vizuri naomba wanifumbue macho what am i missing about this guy.RIP RUGE.

Sent using Jamii Forums mobile app

100% overrated.
 
Back
Top Bottom