TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Uwiiiiiiii jamani nimechekaaaaaa! Nimecheka kama kichaa, loooh bibie sio kwa kuvunja huko kiuno na tumbo lake.
Uke wenza una mambo?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Enzi hizo anajiita youngmom,ama kweli katika maisha the only permanent thing is change. NOTHING IS PERMANENT.
 
Lengo kubwa ilikuwa kuwasahaulisha sakata la korosho pamoja na suala la shilingi kuporomoka dhidi ya dollar...

Na kwa kuwa watanzania ni watu wanaoendeshwa kwa mihemuko basi serikali imeshinda vita hii vizuri kabisa ...
 
Sababu nyingine ni msaada wa Ruge kwenye kampeni Muhimu za Ccm 2015, Ruge aliratibu kutengeneza majukwaa Yote na akaleta wasanii wote kwa ajili ya kuperfom kila mkoa Ccm ilipofanyia kampeni zake. Hakuishia hapo akaenda redion kufanya fitna za kukipamba chama.

Mbali na mengineyo ni ukweli usiopingika Ruge alifanya kazi kubwa sana kuwaweka Ccm wawe hapo walipo leo. Ndio reason magufuli anamuitaga Ruge "kijana wangu" aliplay role kubwa kuhakikisha magufuli anakuwa Rais. The same na kwa kikwete.

Ndio maana Ruge ni zaidi ya makada wengi akiwa hajawahi kuvaa gwanda za uvccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yote mengine semeni ila weupe ndiyo huu.
 
Kaulizwa kajibu

Muache wivu.

Eeeeh wengi mnafatilia ya wahaya.. lile benzi oyeeeeee 😀😀😀😀 wamefanya kwa kihaya. Ila zuri sana na sio kubeba mwili kwa mikono muda wote kama Ulaya.
 
Fundi mtengeneza kaburi kaulamba kama anaenda kwenye send-off ya mwanae na Kitambulisho/Tag anayo shingoni. Hivi wahaya mna nini?
 
clouds bana kama kuna kitu wanajua ....ni kufanya promo / marketting......jambo lao lazima litakua la nchi nzima (thanx to the late ruge)...yani hyo fiesta ukiisikia inavyotangazwa na ukienda kuionaa....unaweza baki mdomo wazi!...we jiulize tuu clouds wameajiri watu wangapi...lakini ni ma elfu ya wa tz wana mrefer to jamaa as "boss ruge"....yani ukiangalia tv hapa juzi baada ya msiba...unaweza jukuta unalia unajiuliza ivi bila boss ruge mimi ningekua wapia aisee.....baadae akili zikikurudia ndio unasema "allah, ivi mimi kumbe ni mwalimu tuu washule ya msingi fulani , hata Ruge mwenywe nilikua simjui,,,shetani shidwaaa!"

Bila Boss Ruge......................😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom