Sababu nyingine ni msaada wa Ruge kwenye kampeni Muhimu za Ccm 2015, Ruge aliratibu kutengeneza majukwaa Yote na akaleta wasanii wote kwa ajili ya kuperfom kila mkoa Ccm ilipofanyia kampeni zake. Hakuishia hapo akaenda redion kufanya fitna za kukipamba chama.
Mbali na mengineyo ni ukweli usiopingika Ruge alifanya kazi kubwa sana kuwaweka Ccm wawe hapo walipo leo. Ndio reason magufuli anamuitaga Ruge "kijana wangu" aliplay role kubwa kuhakikisha magufuli anakuwa Rais. The same na kwa kikwete.
Ndio maana Ruge ni zaidi ya makada wengi akiwa hajawahi kuvaa gwanda za uvccm.
Sent using
Jamii Forums mobile app