TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Uwiiiiiiii jamani nimechekaaaaaa! Nimecheka kama kichaa, loooh bibie sio kwa kuvunja huko kiuno na tumbo lake.
Uke wenza una mambo?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Enzi hizo anajiita youngmom,ama kweli katika maisha the only permanent thing is change. NOTHING IS PERMANENT.
 
Lengo kubwa ilikuwa kuwasahaulisha sakata la korosho pamoja na suala la shilingi kuporomoka dhidi ya dollar...

Na kwa kuwa watanzania ni watu wanaoendeshwa kwa mihemuko basi serikali imeshinda vita hii vizuri kabisa ...
 
Yote mengine semeni ila weupe ndiyo huu.
 
Kaulizwa kajibu

Muache wivu.

Eeeeh wengi mnafatilia ya wahaya.. lile benzi oyeeeeee πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wamefanya kwa kihaya. Ila zuri sana na sio kubeba mwili kwa mikono muda wote kama Ulaya.
 
Fundi mtengeneza kaburi kaulamba kama anaenda kwenye send-off ya mwanae na Kitambulisho/Tag anayo shingoni. Hivi wahaya mna nini?
 

Bila Boss Ruge......................πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…