TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Pole usiumie sana na wewe ukifa tutakutangaza sana mkuu!!
 
Acha uongo bas watanzania gan walilazimishwa kusema mazur tu y'a ruge
Pole usiumie sana na wewe ukifa tutakutangaza sana mkuu!!
 
mimi lililonishangaza sana ni hili la kutumia ndege yetu sisi walipa kodi na mishahara yetu hii ya la 7.

hivi Lissu (atapokuwa prezo wetu kuanzia 2020) akija kuamua kumfungulia mtu mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka..... kuna wa kulaumu au kulalamika kweli hapa??
 
Situation aliyopitia hapa mwishoni, kufanyiwa ubabe wa ki mamlaka na kuunganisha na kuugua nayo imechangia pakubwa jamii kujenga sympath kwake.

Wengi ni kama vile wameungana kuonyesha kuwa mamlaka haikumtendea haki.

Angefariki wakati mwingine isingekuwa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…