instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shida kubwa nchi yetu ipo katika mfumo ambao mkuu akishaonekana yupo upande gani basi woooooooooooooooote nao huonekana upande huo huo ilimradi ionekane mawazo yao ni mamoja, mfano upo kwa maadui nao pia wamejichanganya kusifu lakini wengine wameenda mbali zaidi mpaka kumuita kaka yote haya dhamira ni ile ile tu mkuu kapendezwa.
Lakini imagine kama mkuu angepotezea basi amini usiamini hili zogo looooote usingeliona
Hivi hakuwa na cheo chochote serikalini? Maana ulikuwa ni kama msiba wa serikali.
Idawa siku hizi uko vizuri !!!.Hata mimi bado nashangaa, ila sababu nchi yetu ni ya matukio lolote linawezekana.!
Hao wengine uliowataja kutategemea kuitwa kwao kumesababishwa na nini, maana anaelia sana msibani no wakumchunguza sana.Wenzio wanajuana......
Tukio la kifo cha "mwenzao" huyo kwao ni "ibada" yao muhimu kuliko unavyofikiri....
Wenye macho ya "kiroho" waliliona hilo, wakakataa kushiriki "ibada hiyo haramu ya sanamu"....
Hatuombi na wala sitamani lakini niseme kama sehemu ya mjadala huu, kwamba, miongoni mwa watu waliogusa maisha ya wengi hapa Tanzania ni mzee Reginald Mengi...
Ikitokea huyu mzee aitwe leo, trust me hatapata treatment ya mazishi ya "kiserikali" kama alivyopata huyu ndugu yetu japo kamwe hawezi kulingana hata chembe tu na Mzee Reginald Mengi ktk mchango wake wa kuigusa jamii kwa namna ile au hii...!!
Scenario hii ni similar na watu kama Mzee Bakheresa, Mo Dewji na wanaofanana na hao.....
Why?
Hawana shirika nao zaidi ya kuwa walipa kodi tu!!
Hahaha daaah! Haya banaaaKaburi la Watani zangu wahaya mengi hujengwa na mainjinia waliosajiliwa na bodi ya mainjinia msilinganishe na ya makabila mengine ambayo kibarua wa ujenzi yeyote mwenye mwiko wa ujenzi anajenga.Injinia anayejenga lazima kwao afanyiwe interview na maprofesa mainjinia toka vyuo vinavyoheshimika
Tume ndio ilimaliza kwanini unakuwa mwongo?Huyo jamaa ni mastermind Mkubwa wa ccm na baadhi ya campaign nyingi za ccm na serikali project ya campaign ya 2005 hadi 2015 kamaliza yeye
mpuuzi mpuuzi tu
Pole usiumie sana na wewe ukifa tutakutangaza sana mkuu!!
Mmemuelewa lakini ?!. Hivyo vichwa vya nini kama hamuelewi ?!Wivu ni ugonjwa.
mimi lililonishangaza sana ni hili la kutumia ndege yetu sisi walipa kodi na mishahara yetu hii ya la 7.
hivi Lissu (atapokuwa prezo wetu kuanzia 2020) akija kuamua kumfungulia mtu mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka..... kuna wa kulaumu au kulalamika kweli hapa??
Kuna mh anadai yy ndio alikua msiri wa ruge,mh huyo huyo tukio la kupatikana kwa mo baada ya kutekwa yy ndio alikua wa kwanza kutweet!kiki zingine hizi!Watu waliolikuza hawana taswira nzuri kwenye jamii, hivyo wametumia tukio hilo kutaka kujionyesha ni watu wema. Kwa sasa kuzikana kunaangalia itikadi, hivyo huyo kwakuwa hakuwa wa siasa za majukwaani ndio ametumika kutakatishia nyota zao.
Hao wengine uliowataja kutategemea kuitwa kwao kumesababishwa na nini, maana anaelia sana msibani no wakumchunguza sana.