TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba


Mr. London,

This is more than you think.!

Nakupongeza kama hukushiriki kwa namna yoyote iwe physically kwenda ama kuangalia kwenye TV ktk tukio hili lililopewa hadhi ya "msiba"

Kwa sbb, if you did participate in one way or another, then count yourself that you are one of them....

I know it's quite difficult to understand this unless you are spiritually gifted to understand things in spiritual world......

Remember we are almost approaching election seasons for some people to re - acquire their powers and authority from their gods....

It's time to handle blood sacrifices and black worship services to their earthly gods...

It is written, ".....mtawatambua tu kwa mienendo na matendo yao......"
 
Hata mimi bado nashangaa, ila sababu nchi yetu ni ya matukio lolote linawezekana.!
Idawa siku hizi uko vizuri !!!.

Lakini kwa watu wa Bukoba, ni kuwa wamesahaulishwa ulaji wa rambirambi, na kutelekezwa wakati wa tetemeko. Huu uwema umewasahaulisha kila kitu. [emoji120][emoji1666]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wengine uliowataja kutategemea kuitwa kwao kumesababishwa na nini, maana anaelia sana msibani no wakumchunguza sana.
 
Hahaha daaah! Haya banaaa
 

Hakuna, na hilo ni obviously lipo litatatokea muda si mwingi ujao...!!

The devil has to be exposed and he must surrender...
 
Watu waliolikuza hawana taswira nzuri kwenye jamii, hivyo wametumia tukio hilo kutaka kujionyesha ni watu wema. Kwa sasa kuzikana kunaangalia itikadi, hivyo huyo kwakuwa hakuwa wa siasa za majukwaani ndio ametumika kutakatishia nyota zao.
Kuna mh anadai yy ndio alikua msiri wa ruge,mh huyo huyo tukio la kupatikana kwa mo baada ya kutekwa yy ndio alikua wa kwanza kutweet!kiki zingine hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…