TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Nasema bila kupepesa macho Ruge wa kawaida sana tena sana.
Boss hawezi kuwa wa kawaida kwa sababu umesema. Kilichotokea kwake kimetokea na hakifutiki regadles ya unavyoona ww. Ndo maisha yalivyo. Kenge ni Kenge na mamba ni mamba. Maoni ya mijusi hayawezi kumbadili Mamba kuwa Kenge.
 
Makofi mengi kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lemutuz alikuwepo,na alikaa na Mboni Masimba
Dah basi kweli alikuwepo maana hizo ndio kampani moja toka enzi zile,hapo naona walikuwa wanakumbushana mengi ya zamani....
 
Hi comment balaa nimecheka kinoma
 
Duh..
Hapo dini imetokea wapi tena.
Issue ni gharama za kaburi, haija ongelewa dini ya mtu hapo.
Kuwa mstahamilivu.
 
MI NILIJUA PEKE YANGU !
nimeshangaa mpka nikajihis aibu, kuwa nimeona wivu, kuwa namchukia , kuwa nina anything against him, kuwa alinitenda kitu kibaya!
NIKAGUNDUA WALA HAKUNA HATA MOJA KATI YA SABABU AMBAZO ZINGEFANYA MIMI KUSHANGAA!
mwisho kabisa nikasema!
HEBU MENGINE YANIPITE, SIO KILA KITU LAZIMA NIKIELEWE!!
nikabaki na amani zangu!
 
Hakuna Kijana wa miaka 49 na hajaoa huyo ni mzee mtu alikua anakaribia nusu karne halafu anaitwa kijana labda sababu Clouds wanaajiri watu wasio na elimu
 
Nilijua huu uzi lazima utakuja,things come and go brother,hata huu uzi nao umekuja na utakwenda kama alivyokwenda bwana Ruge,kuzikwa kifahari zote ni mbwembwe tu za wanadamu,at end of the day wote tutachimbiwa shimo na kufukiwa and that is the end of our story,cha muhimu ni je ulijiandaaje kwa ajili ya ulimwengu ujao..?
 
Unamaanisha nini?
 
Kwani makaburi ya waislamu hayana gharama?......... Acha hizo!
 
LISSU LISSU LISSU

Sent using Jamii Forums mobile app
 

serikali inaingiaje hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…