Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
PumbaavuAcha amwagiwe sifa, Ruge ana mchango kubwa Kwa Taifa na hasa Kwa vijana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PumbaavuAcha amwagiwe sifa, Ruge ana mchango kubwa Kwa Taifa na hasa Kwa vijana.
Nandy kutembea na mtu anaemzidi hivyo kulikoni?? ndo maana amekaa kwenye safu za bebi mamaz wa ruge?
Yaani kuna wabongo wengine mpaka umpeleke Ugali na Maharage akale na familia yake yeye pekee ndio atakuona umefanya jambo jema.Umewaambia vizuri
Hahaha tuandamane sie tulie sie waumie wao
Hizo kazi wanazifanya saa ngapi ilhali muda wote wapo kwenye kideo na mitandaoni kufatilia waombolezaji wanaomboleza vipi??
Wivu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza kuta nao wanashirika.Wenzio wanajuana......
Tukio la kifo cha "mwenzao" huyo kwao ni "ibada" yao muhimu kuliko unavyofikiri......
They know exactly hata utaratibu wa kufa kwake. Kulia kwao kote huko ilikuwa ni machozi ya mamba ya kuwafanya wasio na ufahamu wa mambo haya wapumbazike na waamini kweli kuwa kuna mtu kafa na kuna msiba pale....!
Wenye macho ya "kiroho" waliliona hilo, wakakataa kushiriki "ibada hiyo haramu ya sanamu"....
Hatuombi na wala sitamani lakini niseme kama sehemu ya mjadala huu, kwamba, miongoni mwa watu waliogusa maisha ya wengi hapa Tanzania ni mzee Reginald Mengi...
Ikitokea huyu mzee aitwe leo, trust me hatapata treatment ya mazishi ya "kiserikali" kama alivyopata huyu ndugu yetu Ruge kwani kwa vipimo vyote hawezi kulingana hata chembe tu na Mzee Reginald Mengi ktk mchango wake wa kuigusa jamii kwa namna ile au hii...!!
Scenario hii ni similar na inawahusu pia watu sampuli ya kina Mzee Bakheresa, Mo Dewji na wanaofanana na hao.....
Why?
Hawana shirika nao katika ulimwengu wa kwao (spiritual world) zaidi ya kuwa walipa kodi wao tu!!
Hawatachelewa kusema kuwa amepigania uhuru wa tanzania hawa???Hao ndio Clouds tutasikia mengi mpaka msiba utakapoisha
AhahhaMkuu huwezi jua kuna nini kinafichwa. Siku zote mchawi ndo hujifanya anauchungu sana na marehemu huku nyuma ya pazia akijua alichofanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimshitaki kwenye mahakama ipi kwa huo unyonyaji? Na wewe ni miongoni mwa makopo ya Dudubaya? Acheni watu wamsifie wapendavyo kama haikuhusu unakausha.Ruge kafanya kipi kwa vijana mkuu,
Taifa hili limekuwa la hovyo hovyo kwa sababu ya wanafiki kama ninyi,
Ruge alikuwa ni mfanyabiashara tu na itakuwa sahihi zaidi tukisema jamaa alikuwa ni mjasiriamali mashuhuri
Miaka yote wasanii wamelia sana wananyonywa hamkuyayema hayo mazuri leo amelala ndo mnayasema mazuri
Acheni unafiki
mkuu hata wewe, dunia ya habari na taarifa haujui role ya Ruge nchi hii
hivi maofisini mnafanyaje kazi kama hamuwezi kufanya simple research tu?
Hahahah sa hapo ndio umefanya nini man.Mimi siandiki kitu hapa.Leo nimekula maihindi ya kuchemsha najamba kinoma.Kazi kwenu wanauzi.
Acha uongo bwana.huo ni muono wakoWatu waliolikuza hawana taswira nzuri kwenye jamii, hivyo wametumia tukio hilo kutaka kujionyesha ni watu wema. Kwa sasa kuzikana kunaangalia itikadi, hivyo huyo kwakuwa hakuwa wa siasa za majukwaani ndio ametumika kutakatishia nyota zao.
Tanzania Maisha bila unafiki hayaendiNa sisi watanzania ni wanafiki yani kila anayezaliwa tz lazima awe mnafiki tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
UN wameamua kufuata mkumbo. Coz najua wanafanya kazi hadi na local community, mbona hua hawatumi salamu za pole misibani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Msiba wa Ngwair raisi alienda kuaga?In fact siwezi kushangaa hili la Ruge, kwa sababu nakumbuka Ngwair alipofariki waliosimamia msiba ni Clouds.
Ule msiba ulikuwa mkubwa sana zaidi ya Ngwair, maana hata Rais alienda Leaders kuaga.
Jamaa wako overrated sana.
ulishajenga mkuu, hata kivanda cha kuuza ndizi t?Cement, yale matofali na zile tiles za bei poa ndo inafika 4,000,000 hawa wangejenga kaburi kama la H.I.D Awolowo kaburi lenye Air Condition wangesema kaburi limefika 50,000,000