Mimi sitaki kuongelea mazishi ila nilikuwa naangalia upande wapili wa tukio. Nimegundua watu wengi wako mjini hawana kazi za kufanya kweli mtu na kazi zako utakaa masaa barabarani kusubiri mwili? watu wanaweza kuacha kazi na kwenda kuzika lakini sio kusimama barabarani ukichukulia ilikuwa siku ya kazi.