Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Dudu baya akiwataja mnakasirika.Mtu mzima unapoamua kujitoa ufahamu ni shiida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dudu baya akiwataja mnakasirika.Mtu mzima unapoamua kujitoa ufahamu ni shiida.
Baba wa vijana kivipi yaani sielewi
Msiba unafanyiwa promo kuuuubwaa.
Mzee Wa fursa atabaki kuwa baba Wa taifa Wa vijana Kwa mchango wake Kwa vijana walio wengi, wewe kama hutaki usimuite hivyo kwani kuna ubaya???
Kutaja kila mtu anaweza kutaja, Dudubaya maisha yamempiga sasa anatafuta kiki Kwa nguvu na umri ndio umeshamtupa. Unajua maisha yakikupiga unamuona kila aliyefanikiwa ni adui kwako, badala ya mtu kupambana kimaisha anapambana kutukana waliofanikiwa.Dudu baya akiwataja mnakasirika.
Maisha yamempiga anakula kwako ?Kutaja kila mtu anaweza kutaja, Dudubaya maisha yamempiga sasa anatafuta kiki Kwa nguvu na umri ndio umeshamtupa. Unajua maisha yakikupiga unamuona kila aliyefanikiwa ni adui kwako, badala ya mtu kupambana kimaisha anapambana kutukana waliofanikiwa.
Hukujua bado ..nilimaanisha kuondoka vipi.Baada ya Nifah kukuita shogake ulisema unaondoka now umerudi tena...umbea kama uko damuni huwezi kuvumilia bwana[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi waTz Watu wa ajabu sanaRuge kafanya kipi kwa vijana mkuu,
Taifa hili limekuwa la hovyo hovyo kwa sababu ya wanafiki kama ninyi,
Ruge alikuwa ni mfanyabiashara tu na itakuwa sahihi zaidi tukisema jamaa alikuwa ni mjasiriamali mashuhuri
Miaka yote wasanii wamelia sana wananyonywa hamkuyayema hayo mazuri leo amelala ndo mnayasema mazuri
Acheni unafiki
Udaku upi ?[emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]khantwe wew una shda..nilitaka sema hvyp hvyp nikaona nipotezee hainisaidii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..umbea ni kitu kingine..ila mie sipend men awe mdaku jaman[emoji23][emoji23][emoji23]nakuaga baridiii
Shida ya Ruge hakukubali kuwekwa mkononi na bashite...Anaweza enda mpk bukoba kuhakikisha Kama kweli anazikwa maana ruge alimtetemesha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwa nini sasa Bashite alivamia ofisi zake?Sababu nyingine ni msaada wa Ruge kwenye kampeni Muhimu za Ccm 2015, Ruge aliratibu kutengeneza majukwaa Yote na akaleta wasanii wote kwa ajili ya kuperfom kila mkoa Ccm ilipofanyia kampeni zake. Hakuishia hapo akaenda redion kufanya fitna za kukipamba chama.
Mbali na mengineyo ni ukweli usiopingika Ruge alifanya kazi kubwa sana kuwaweka Ccm wawe hapo walipo leo. Ndio reason magufuli anamuitaga Ruge "kijana wangu" aliplay role kubwa kuhakikisha magufuli anakuwa Rais. The same na kwa kikwete.
Ndio maana Ruge ni zaidi ya makada wengi akiwa hajawahi kuvaa gwanda za uvccm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha CCM wana taka uwe msiba wa taifa. Hata sielewi kwa lipi.Msiba unafanyiwa promo kuuuubwaa.
Imekuwa kama mashindano sana.
Kuna Wanaoponda na wanaosifia.