jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Pasaka ya mwaka huu ya ajabu sana.
"YUDA katokea monduli "
Maendeleo hayana chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pasaka ya mwaka huu ya ajabu sana.
"YUDA katokea monduli "
Mbona haya tuliyajua mapema kuwa Jay Dee anakosea sana
Vijana oeni mtengeneze familia zenu,haya mambo ya umaarufu hata mke huna haileti picha nzuri wakati uwezo wa kufanya hivyo upo.
Maisha mafupi sana haya.
Hizo mambo sijui Kaburi la Mil 4 hizo mbwembwe tu
mambo ya kiumeniSafari moja uanzisha nyingine.
Dudubaya kumbe wameshakuachia...karibu uraianiNa wanaomkuza mie nawaona waseng* tu. Coz inafahamika wazi kwamba jamaa kazima ndoto za watu kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina ni kattoKwani hamujui kwamba JIWE naye ana uhaya ndani yake???
Kwanini asimupendelee mhaya mwenziwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaDudubaya kumbe wameshakuachia...karibu uraiani
nakushangaa.unapomuwazia.huyo jamaa kuja kuwa rais wa tz.hivi.unaota mzee..mimi lililonishangaza sana ni hili la kutumia ndege yetu sisi walipa kodi na mishahara yetu hii ya la 7.
hivi Lissu (atapokuwa prezo wetu kuanzia 2020) akija kuamua kumfungulia mtu mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka..... kuna wa kulaumu au kulalamika kweli hapa??
Ni utamaduni, desturi Na tamaduni zetu kusema mazuri tu hata kama kuna mapungufu Kwa marehemu, huu utamaduni mnaotaka kuuleta ni utamaduni Wa ajabu Na haukubaliki. Naamini hata kwenye dini zetu huu utaratibu Wa kumsema vibaya marehemu haukubaliki. Na kuhusu kusifiwa MTU akishakufa ni jambo la kawaida hata wewe ukifa utasifiwa, hatuwezi kuzuia watu kueleza sifa za mtu eti kwasababu ameshakufa.Huo mchango wake unausema leo mwamba akiwa amelala?
Kwanini hukunyanyua kinywa kusema kwamba mnamuonea Wakati akipakwa tope akiwa hai?
Yaani leo akiwa amelala mchango umeonekana na anatetewa ila wakati yu hai watu wanalalamika mlikaa kimya huo ndo unafiki sasa.
Promo iliyopigwa sio ya kitoto.Em tusikie maoni ya wale jamaa wazee wa "OVERRATED".
Ni utamaduni, desturi Na tamaduni zetu kusema mazuri tu hata kama kuna mapungufu Kwa marehemu, huu utamaduni mnaotaka kuuleta ni utamaduni Wa ajabu Na haukubaliki. Naamini hata kwenye dini zetu huu utaratibu Wa kumsema vibaya marehemu haukubaliki. Na kuhusu kusifiwa MTU akishakufa ni jambo la kawaida hata wewe ukifa utasifiwa, hatuwezi kuzuia watu kueleza sifa za mtu eti kwasababu ameshakufa.