Sasa huyo said kweli anajulikana kama Ruge? Ruge hakua na active account kwenye social media, hakuwa mtu wa bling bling, hakuwa frontier kwenye concerts alikua frontier kwenye seminars fursa, kipepeo, Malkia wa nguvu yaani matukio yanayogusa watu, njia panda kawaruhusu wengi tu kwa mamia waende clouds kuelezea shida zao na wanasaidiwa, kafanya charity events nyingi za kutibu zaidi ya watoto 150 moyo na kusomesha yatima na wanyonge lukuki sasa huyo fela anaingiaje kwenye lane ya Ruge?
Hivi promoter wa Mr Nice unamfahamu? Kuna mwanamziki aliegusa hii East Africa na Kati kama Mr Nice?
Sio kila mtu atapata attention aliyopata Ruge na wala kuipata hiyo attention sio kazi ndogo kama unabisha nenda na wewe kadeal na wasanii tukuone.