TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Serikali ni nani? Sema baadhi ya viongozi kwa wanalolijua wao. Ilipovamiwa Clouds mbona hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi ya waliomvamia tunaye mtukuza leo!
Dudubaya aachiliwe, mbona hafikishwi mahakamani?

Mbona povu mzeee!?
Viongoz wa CDM wako ndan miez 3 nw bila kosa unaumia nn DDB Kukaa siku 3
Haya Ruge kafa tunataka kumwona huyo DD wenu akichukua tuzo BET[emoji57][emoji57][emoji57]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just leaving behind a wonderful legacy for others to emulate, otherwise haikuwepo nafsi hai kwa ulimwengu ujo kwani si wetu
 
Kama serikali imemtambua na kumpa heshima yote wewe n nan!?


Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapa ndipo penye shida. Maadhal boss alitoa gharama za matibabu na amekuwa wa kwanza kututangazia msiba, basi eti limekuwa swala la kitaifa ?!.

Hata hivyo mimi sina tatizo naye, kwanza ni mtani wangu , alale pema pepon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
well said.......
 
Hivi kaka wa Taifa si anaeleweka jamaniii! Kaka'etu Mh. RC. Povu ruksa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hao ndio wapiga kura na hizo ndio akili zao.....
 
Al marhumRuge ana watu wake aliowasaidia akina nandy,barnaba na watangazaji wake na CCM.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hao ndiyo watu wake iweje taifa zima watuchoshe kama kwamba labda alikua mfadhili wa shule za kata, au labda alifadhili visima nchi nzima au labda alisaidia nchi kujenga reli ya SGR. Tumeingizwa kwenye maombolezo ya mfanyabiashara kwa fadhila alizomfanyia nandy na CCM kama vile nchi nzima ni nandy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkwe wafata mkumbo wanaweza kusema hizo ni chuki zako binafsi, yaani watu wameguswa kwelikweli utafikiri walishawahi kuibuka washindi wa 3 mzuka.

Maendeleo hayana chama
 
Namekuelewa Sana mkuu! Watuambie kunanini nyuma ya pazia? Ruge ni mjaairiamali sawa na wwngine tu.
 
Mbona povu mzeee!?
Viongoz wa CDM wako ndan miez 3 nw bila kosa unaumia nn DDB Kukaa siku 3
Haya Ruge kafa tunataka kumwona huyo DD wenu akichukua tuzo BET[emoji57][emoji57][emoji57]


Sent using Jamii Forums mobile app
suala haikuwa kuchukua BET, watu wanalalamika wakati wao ule wapo pick walitumika na hawakupewa stahiki zao. time yao ishapita!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Wivu Hadi kwa Marehemu? We kilichokukera Nini ilihali waliosifia wamefanya hivyo kwa Utashi wao? Umekuwa Nani wa kuingilia Uhuru wa Watu kumsifia Ruge? Labda nikujibu kwa ufupi ili wivu wako upungue usije ukakusababishia UGONJWA wa Moyo.
1. Tamasha la Fiesta: pamoja na waliopata ajira ya kuburudisha, wapo pia waliofaidi kwa kuburudika. Yaani Ruge aliwapelekea Burudani ambayo wasingeweza kuifuata ilipo. Katika Tamasha Hilo, wapo waliouza maji, biscuits, mishikaki, chips, soda, vilevi, n.k. Pato walilolipata liliwasaidia familia, ndugu, jamaa na marafiki. Hii pekee imewafikia watu wengi unaowaona wanaomboleza.
2. THT, imeibua vipaji ambavyo vimesaidia kuongeza Pato la Taifa kupitia Sanaa! Sehemu ya Pato Hilo imetumika katika huduma za Jamii ambazo hata wewe na ndugu zako mmezitumia.
3. Malkia wa Nguvu + Kipepeo + Tamasha la Fursa: Wanawake na Vijana wameweza kupata Jukwaa la kuziona na kuzitambua fursa kadhaa wa kadha, na kwa kufanya hivyo impact Yake imeifikia Jamii.
So, wewe Kama ulitaka ukae hapo nyumbani kwa Shemeji yako kila kitu unakipata kwa Shikamoo halafu Ruge aje akuletee au akusaidie, utakuwa beyond MPUMBAV.U! Kama Jamii itashindwa ku appreciate hicho alichokifanya Ruge, itakuwa Jamii ya Hovyo kabisa (Bahati nzuri wamekuwa na Shukrani kwake na wameonesha katika msiba huu).
Mimi Binafsi sijawahi hata kukutana nae, na Kuna kipindi nilikuwa against baadhi ya Mambo anayofanya, lakini haikuondoa Mimi kujifunza Mambo mbalimbali kutoka kwake na namna Jamii ilivyoguswa kwa kadiri alivyoweza.

Swali kwako, WEWE UMEFANIKIWA NINI KATIKA JAMII? MCHANGO WAKO NI UPI? UTAACHA LEGACY GANI? (Nakuweka katika kundi ambalo litakuwa limehusika na mauaji ya Ruge (Kama inavyodaiwa) na mnajitahidi kuponda ili nafsi zenu zipate ahueni)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…