mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu mimi bila unafki huyo jamaa hajanisaidia kwa lolote kwahio namtakia safari njema huko aendako tu. I also find msiba umekuwa too freaking much. Hakuna ambae hajafiwa ila maombolezo kufanywa kama ni Catastrophic issue inanipa ukakasi flani.
People air their views, wala sio kwamba wana wivu. Tatizo la muafrika ni kuwa hapendi kuusikia ukweli maana ameishi katika unafiki kwenye sehemu kubwa ya maisha yake.Binadamu acheni wivu. Sikujua kumbe waTanzania wanaweza kuwa na wivu hata kwa marehemu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbeee nayaona mengiSababu nyingine ni msaada wa Ruge kwenye kampeni Muhimu za Ccm 2015, Ruge aliratibu kutengeneza majukwaa Yote na akaleta wasanii wote kwa ajili ya kuperfom kila mkoa Ccm ilipofanyia kampeni zake. Hakuishia hapo akaenda redion kufanya fitna za kukipamba chama.
Mbali na mengineyo ni ukweli usiopingika Ruge alifanya kazi kubwa sana kuwaweka Ccm wawe hapo walipo leo. Ndio reason magufuli anamuitaga Ruge "kijana wangu" aliplay role kubwa kuhakikisha magufuli anakuwa Rais. The same na kwa kikwete.
Ndio maana Ruge ni zaidi ya makada wengi akiwa hajawahi kuvaa gwanda za uvccm.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pasaka ya mwaka huu ya ajabu sana.
"YUDA katokea monduli "
Nategemea hilo, but as long as watanzania tumezoea kuishi katika unafiki toka utotoni kwa kigezo cha kuonekana watiifu tu mbele za watu, impact yake ndio imetufikisha hapa!Utaambiwa una wivu mkuu
Wanapost rest in peace na kushea post za msiba Facebook,na michango yao kwenye radio zetu mbili za hapa wilayani ni za kuguswa na msibaWameguswa nini labda, hebu fafanua juu ya hicho walichoguswa!
Hampaswi kushangaa sana kwa sababu kazi ya media haipo kwaajili ya kuwa habarisha watu habari chanya tu pekee
Ulilazimishwa kuombolezaKumbe hao ndiyo watu wake iweje taifa zima watuchoshe kama kwamba labda alikua mfadhili wa shule za kata, au labda alifadhili visima nchi nzima au labda alisaidia nchi kujenga reli ya SGR. Tumeingizwa kwenye maombolezo ya mfanyabiashara kwa fadhila alizomfanyia nandy na CCM kama vile nchi nzima ni nandy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!nimekuelewa vizuri kabisaHampaswi kushangaa sana kwa sababu kazi ya media haipo kwaajili ya kuwa habarisha watu habari chanya tu pekee
Kazi nyingine ya media ni Kurithisha Uongo " propaganda na Ujinga Katika jamii Husika .... haya yote yanaweza kupata nafasi ya kuenea kwa kasi kubwa Sana katika jamii endapo kama sehemu kubwa ya watu wa jamii hiyo watakuwa Ni wajinga ....
So nakuomba ufanye tathimini dhidi ya watu waliopo katika taifa lako na mitazamo ya fikira waliyo nayo --- kisha utapata jibu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah waache wapost, kujishughulisha na msiba kwa week nzima bila kujali nawewe upambane maana mda wako unaenda bure ni uzwazwa wa kiwango flani. Tumekubali jamaa ametutoka apumzishwe ishu zingine ziendelee.Wanapost rest in peace na kushea post za msiba Facebook,na michango yao kwenye radio zetu mbili za hapa wilayani ni za kuguswa na msiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi idd amin, adolf hitler hawa bado sio marehemuNi utamaduni, desturi Na tamaduni zetu kusema mazuri tu hata kama kuna mapungufu Kwa marehemu, huu utamaduni mnaotaka kuuleta ni utamaduni Wa ajabu Na haukubaliki. Naamini hata kwenye dini zetu huu utaratibu Wa kumsema vibaya marehemu haukubaliki. Na kuhusu kusifiwa MTU akishakufa ni jambo la kawaida hata wewe ukifa utasifiwa, hatuwezi kuzuia watu kueleza sifa za mtu eti kwasababu ameshakufa.
Walikufa watu wenye akili kama yesu,petro, mohamadi, ibrahim etc ijekuwa mtu wakawaida tu ambae ni wapenda bongo flevando wanamtambua mimi na masela wangu tunaopenda mziki wa injili wala hatukumfuatilia acheni kutuletea fujo. Mlazeni mahara pema muendelee na kazi za ujenzi wa taifa hayo ya baba wa taifa la vijana mnayatoa wapi na nani kawapa mamlaka ya kuwasemea vijana. Semeni wa bongo fleva tutawaelewa.
Ruge kafanya kipi kwa vijana mkuu,
Taifa hili limekuwa la hovyo hovyo kwa sababu ya wanafiki kama ninyi,
Ruge alikuwa ni mfanyabiashara tu na itakuwa sahihi zaidi tukisema jamaa alikuwa ni mjasiriamali mashuhuri
Miaka yote wasanii wamelia sana wananyonywa hamkuyayema hayo mazuri leo amelala ndo mnayasema mazuri
Acheni unafiki