feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Serikali ni kikundi cha watu ambacho kimepewa ridhaa na wananchi kuamua kwa niaba yao kwenye mambo fulani yenye manufaa...
Anayefahamu zaidi anisahihishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ni kikundi cha watu ambacho kimepewa ridhaa na wananchi kuamua kwa niaba yao kwenye mambo fulani yenye manufaa...
Bado umetumia muda wako mwingi kuelimisha watu ambao hawatakuelewa.Dah! Wivu Hadi kwa Marehemu? We kilichokukera Nini ilihali waliosifia wamefanya hivyo kwa Utashi wao? Umekuwa Nani wa kuingilia Uhuru wa Watu kumsifia Ruge? Labda nikujibu kwa ufupi ili wivu wako upungue usije ukakusababishia UGONJWA wa Moyo.
1. Tamasha la Fiesta: pamoja na waliopata ajira ya kuburudisha, wapo pia waliofaidi kwa kuburudika. Yaani Ruge aliwapelekea Burudani ambayo wasingeweza kuifuata ilipo. Katika Tamasha Hilo, wapo waliouza maji, biscuits, mishikaki, chips, soda, vilevi, n.k. Pato walilolipata liliwasaidia familia, ndugu, jamaa na marafiki. Hii pekee imewafikia watu wengi unaowaona wanaomboleza.
2. THT, imeibua vipaji ambavyo vimesaidia kuongeza Pato la Taifa kupitia Sanaa! Sehemu ya Pato Hilo imetumika katika huduma za Jamii ambazo hata wewe na ndugu zako mmezitumia.
3. Malkia wa Nguvu + Kipepeo + Tamasha la Fursa: Wanawake na Vijana wameweza kupata Jukwaa la kuziona na kuzitambua fursa kadhaa wa kadha, na kwa kufanya hivyo impact Yake imeifikia Jamii.
So, wewe Kama ulitaka ukae hapo nyumbani kwa Shemeji yako kila kitu unakipata kwa Shikamoo halafu Ruge aje akuletee au akusaidie, utakuwa beyond MPUMBAV.U! Kama Jamii itashindwa ku appreciate hicho alichokifanya Ruge, itakuwa Jamii ya Hovyo kabisa (Bahati nzuri wamekuwa na Shukrani kwake na wameonesha katika msiba huu).
Mimi Binafsi sijawahi hata kukutana nae, na Kuna kipindi nilikuwa against baadhi ya Mambo anayofanya, lakini haikuondoa Mimi kujifunza Mambo mbalimbali kutoka kwake na namna Jamii ilivyoguswa kwa kadiri alivyoweza.
Swali kwako, WEWE UMEFANIKIWA NINI KATIKA JAMII? MCHANGO WAKO NI UPI? UTAACHA LEGACY GANI? (Nakuweka katika kundi ambalo litakuwa limehusika na mauaji ya Ruge (Kama inavyodaiwa) na mnajitahidi kuponda ili nafsi zenu zipate ahueni)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaio ata wale waliokua wanalia pale mbele walikua wanalilia koroshow!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usajili wa jina la biashara ndio unaanza, sasa kwa mujibu wa dokumenti inayotembea na kutumwa humu hovyo ya mange kimavi siyo ya Brela ni ya TCRA tena ya maombi ya license sasa kwa kuwa nimekujibu swali lako kiungwana naomba unijuze inapatikana wapi hiyo?Kuna mengi unatakiwa ujifunze, kumbe unafahamu kuwa BRELA ndio wasajili wa kampuni, Sasa sema Licence ya Biashara na Usajiri wa kampuni UPI uwa unaanza!?
Mnateseka na nini? Mtuache tuomboleze nyie sakeni mahela kila mtu ako na choice yake
Mimi naona watuache pia...Nchi yetu ya uhuru kila mtu afanye linalomfurahisha...Tusipangiane cha kufanya.
THT imekuza pato la taifa!! [emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Wivu Hadi kwa Marehemu? We kilichokukera Nini ilihali waliosifia wamefanya hivyo kwa Utashi wao? Umekuwa Nani wa kuingilia Uhuru wa Watu kumsifia Ruge? Labda nikujibu kwa ufupi ili wivu wako upungue usije ukakusababishia UGONJWA wa Moyo.
1. Tamasha la Fiesta: pamoja na waliopata ajira ya kuburudisha, wapo pia waliofaidi kwa kuburudika. Yaani Ruge aliwapelekea Burudani ambayo wasingeweza kuifuata ilipo. Katika Tamasha Hilo, wapo waliouza maji, biscuits, mishikaki, chips, soda, vilevi, n.k. Pato walilolipata liliwasaidia familia, ndugu, jamaa na marafiki. Hii pekee imewafikia watu wengi unaowaona wanaomboleza.
2. THT, imeibua vipaji ambavyo vimesaidia kuongeza Pato la Taifa kupitia Sanaa! Sehemu ya Pato Hilo imetumika katika huduma za Jamii ambazo hata wewe na ndugu zako mmezitumia.
3. Malkia wa Nguvu + Kipepeo + Tamasha la Fursa: Wanawake na Vijana wameweza kupata Jukwaa la kuziona na kuzitambua fursa kadhaa wa kadha, na kwa kufanya hivyo impact Yake imeifikia Jamii.
So, wewe Kama ulitaka ukae hapo nyumbani kwa Shemeji yako kila kitu unakipata kwa Shikamoo halafu Ruge aje akuletee au akusaidie, utakuwa beyond MPUMBAV.U! Kama Jamii itashindwa ku appreciate hicho alichokifanya Ruge, itakuwa Jamii ya Hovyo kabisa (Bahati nzuri wamekuwa na Shukrani kwake na wameonesha katika msiba huu).
Mimi Binafsi sijawahi hata kukutana nae, na Kuna kipindi nilikuwa against baadhi ya Mambo anayofanya, lakini haikuondoa Mimi kujifunza Mambo mbalimbali kutoka kwake na namna Jamii ilivyoguswa kwa kadiri alivyoweza.
Swali kwako, WEWE UMEFANIKIWA NINI KATIKA JAMII? MCHANGO WAKO NI UPI? UTAACHA LEGACY GANI? (Nakuweka katika kundi ambalo litakuwa limehusika na mauaji ya Ruge (Kama inavyodaiwa) na mnajitahidi kuponda ili nafsi zenu zipate ahueni)
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua imezalisha Wasanii Wangapi? Unajua Kodi wanayolipa kwa kila kipato wanachokipata? Unajua hiyo Kodi inapelekwa wapi?
Ngojea tuone finishing ya kaburi ndio bei juu kama watakuwa wametengeneza Mable yenye picha yake. Ile Mable ikiwekwa picha na maandishi Yale ya kwenye msalaba dob na dod na mistari ya Bible si chini ya million 1.show ya juu ya kaburi wakisema wajenge kwa Mable badala ya tiles Ina weza kuisha million 3.na million moja unaweka kuchimba na kujengea kaburi kuanzia chini hadi zege la juu..... Kinondoni sasa hiv kuzika pale si chini ya 2.5m kaburi standard hapo bado amjafinishi kwa juuu hiyo ni mmejenga kama baraza tu. Ujenz wa makaburi ukitaka liwe zuri ni gharama ila ukitaka la kawaida aizidi laki 4Sasa mkuu tufanye hesabu za haraka haraka mfano tofali 2000 Tshs x 150 = 300,000, Cement 22,000 Tshs x 10 = 220,000, Tiles box 25,000 x 20 = 500,000, Maji 100,000Tshs, Fundi 250,000 vibarua 30,000 × 4 = 120,000 kutengeneza zege la kusakafia juu i.e 250,000 yani hapo jumla ni 1,390,000 Tshs pia unatakiwa ujue huko ni kijijini vitu sio gharama kubwa hata useme uzizidishe gharama hizi mara mbili milioni 3 haifiki hio milioni nne inakuja vipi?
Mimi naona watuache pia...Nchi yetu ya uhuru kila mtu afanye linalomfurahisha...Tusipangiane cha kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app