Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Wengine wana faint kwa sababu nyingine kabisa, na sio majonzi ya msiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli, haiwezekani awe na uchungu kiasi hicho kuliko ht wazazi au watoto wa marehem
Hahahah sa hapo ndio umefanya nini man.
Kwaiyo kumbe kuna dada wataifa na kaka wa taifaKama hadi kahaba kama Mange Kuna wajinga wanamu-address Ni dada wa taifa hili,nini Ruge?
Mjini hapa nna chanzo kimoja shoga angu anajuana na watoto wa mjini wote ukifika kwake umbea sasaa[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mengine waogopa hata kusema maana anaogopa kujulikana
Unaendeleaje mkuu?
Wengine wana faint kwa sababu nyingine kabisa, na sio majonzi ya msiba.
Huyu...Alipata alivyokufa mtoto wake na ndege ya serikali ilitolewa bure mkuu... Mengi anatambulika na kuheshimika zaidi
hivi ni kweli hako kabinti kameachiwa kitumbo cha miezi kadhaa?
Wengine wana faint kwa sababu nyingine kabisa, na sio majonzi ya msiba.
Kwakweli, haiwezekani awe na uchungu kiasi hicho kuliko ht wazazi au watoto wa marehem
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo si nnasikia ndio alikuwa kipoozeo cha bwana ruge
Mbona shangazi yao tibaijuka sijamuona[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 1037665Hakuna aliyetengwa. Ukiangalia vizuri huyu mkubwa anajitegemea na ana maamuzi fulani kuhusu msiba wa baba yake . Ila hao wadogo mpaka usimamizi wa hali ya juu toka kwa mama zao. Maana mashangazi na baba wadogo/wakubwa pia wanafamilia zao ila hapo akili zipo kwa ndugu yao aliyewaacha hivyo hawataweza kuangalia hao watoto wadogo huku wakifatilia shughuli za msiba.
Endelea kuzoom Mkuu upige hata viwiliDuh ila kanandy kazuri kukachomekea dushe huku umekabeba.