TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hahahah sa hapo ndio umefanya nini man.

Hahha! kaka hii inaitwa pragmatics, hapo kuandika maana yake si kuweka herufi na sentensi tu bali kuchangia mada. Si unaona kuna wakati unamzingua mtu kisha anasema, 'wewe haya tu, mimi sisemi'. Ninadhani kwa muktadha huo umenipata mkuu.
 
Haa wabongo ktk ubora wetu.
hivi ni kweli hako kabinti kameachiwa kitumbo cha miezi kadhaa?
Alikuwa hajala au kamis dushe ya mshikaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanadondoka kwa mengi aise
Duh jamaa aliwafaid

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine wana faint kwa sababu nyingine kabisa, na sio majonzi ya msiba.
Kwakweli, haiwezekani awe na uchungu kiasi hicho kuliko ht wazazi au watoto wa marehem

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo si nnasikia ndio alikuwa kipoozeo cha bwana ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1037665Hakuna aliyetengwa. Ukiangalia vizuri huyu mkubwa anajitegemea na ana maamuzi fulani kuhusu msiba wa baba yake . Ila hao wadogo mpaka usimamizi wa hali ya juu toka kwa mama zao. Maana mashangazi na baba wadogo/wakubwa pia wanafamilia zao ila hapo akili zipo kwa ndugu yao aliyewaacha hivyo hawataweza kuangalia hao watoto wadogo huku wakifatilia shughuli za msiba.
Mbona shangazi yao tibaijuka sijamuona[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom