TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Wasanii kwenye sanaa nimeona picha moja barnaba amezimia alafu mfiwa mkuu mbaki mutahaba mdogo wa marehemu ndio ananguvu za kumbeba ruge.
 
Hivi mbona kila kona tangu dar hadi bukoba hadi kabale anapozikwa Ruge sasa naona nandy amekaa karibu na watoto wa marehemu Ruge. Vp nandy nae alikua bi mdogo au????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…