Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Huyu jamaa anamaanisha nini?Mkuu unaweza kuta nao wanashirika.
Sanamu ipi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa anamaanisha nini?Mkuu unaweza kuta nao wanashirika.
Duh ila kanandy kazuri kukachomekea dushe huku umekabeba.
Hujasoma vizuri oni langu we mwanamke.
Pole Nandy
Naona kuna washapu humu wanatoa updates kila tukioohoo bas mtatupaga updates..wenye dstv hakuna kitu
Ngoja nije kwanza, nimetumwa kununu viatu vya Mrisho Mpoto.
yupo sahihi kama kuna Mkono wa Mtu Basi malipo yake na kikombe chake kitajaza na kufurikaDuh,hakuna ajiuye siri ya kifo aisee,u nani wewe hata utoe laana kwa watu?
Rip ndugu Ruge
hivi ni kweli hako kabinti kameachiwa kitumbo cha miezi kadhaa?