TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Wasanii kwenye sanaa nimeona picha moja barnaba amezimia alafu mfiwa mkuu mbaki mutahaba mdogo wa marehemu ndio ananguvu za kumbeba ruge.
Ni kawaida mbona,,, kila mtu ana maximum yake ya kuhimili
 
Mwili Wa Marehemu Boss Ruge mutahaba , Tayari Umeshawasili Nyumbani Kwao Kijiji Cha Kiziru Tayari Kwa Hatua Za Mwisho Za Mazishi ,Ukitokea Viwanja Vya ghimkana Ulipokuwa Unaagwa .
 
Afu kanisa katoliki ni kanisa la principles na linazifuata. Kuna waliosema eti kisa Ruge alikua maarufu basi atazikwa kwa misa na padre, lkn sheria za kanisa haziangalii umaarufu wala nini. Kwa mnaofatilia nadhan mnaona kinachotokea sasa, Ruge anaagwa tu na ibada ya Katekista na wala sio misa ya padri. Na hii ni kutokana na kutofunga ndoa.

Mtajiuliza mbona komba alisaliwa misa na padre??? Hii ni kwa sababu yy aliwahi kufunga ndoa na kuwa na mke wa pili kanisa linaona ni kama mchepuko na kama kanisa halina uwezo wa kuhukumu dhambi ya mtu.

Please kwa wale mlokua mnadhan kanisa katoliki linaangalia umaarufu mjue mnakosea sana. Kwa wanahistoria wazuri nadhan mnaweza kuelezea asili ya kanisa la Anglikana ambalo lilitengenezwa na mfalme wa Uingereza baada ya kujitoa katika kanisa katoliki kisa papa kumkatalia kuvunja ndoa yake angali mke wake akiwa hai. Huyu mfalme alidhan umaarufu wake ungemtetemesha papa lkn haikua hivyo coz hata yeye papa hayuko juu ya sheria.
 
Mkwe kuna mijitu ilivyo minafiki yaani wameguswa na huu msiba kuliko hata walivyoguswa ni misiba ya wazazi wao.
Sijui ni ulimbukeni au ndio kwenda na wakati.

Maendeleo hayana chama
 
Kuzikwa na kanisa hakumuondelei dhambi mkuu, yaani hapa kanisa langu katoliki limeonesha UDHAIFU mkubwa sana, alikuwepo maaskofu wawili pale uwanjani Gymkhana na walitoa salamu za kumsifu Marehemu na kuomba aliyotenda yaendelezwe, kuacha kuongoza mwili wake kaburini ni unafiki mkubwa sana bora wasingehudhuria toka mwanzo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…