Hizo ni hukumu za kibinadamu, Mungu yeye hukumu zake ni za kweli na haki. Yakobo:4.11Full Stop and Long Break
Umenikumbusha Tarime kwenye msiba wa Chacha Wangwe hali ilikuwa tofauti kabisa!Pole nyingi kwa wafiwa na RIP Ruge..
Ni kweli kabisa Mkuu mleta bandiko..
Familia hii ni wastahimilivu sana.
Yani kwenye msiba mnakaa na MUUWAJI wa kijana wenu bila kumbughudhi kwa namna yoyote ile, Ustaarabu mkubwa sana huu..
Ila jamaa tako ana roho yake mwenyewe aisee..kutokuwa na chembe ya aibu mahala kama pale lazima atakuwa alishafanyiwa surgery na mshipa wa aibu uliondolewa Mwilini kwake siku nyingi.
Naweee ulikuwa msibani????Kwa muda niliokuwepo pale hakuongea kitu nilikuwa nasubiri kwa hamu kumsikia urojo ataohororoja
Ila jamaa ana shape la maana tako lilipita hadi kwenye ule mkoti alokuwa amevaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.
Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.
Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.
Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Roho Safi ni NN ?Kaka hapa kidogo leo nimeingia ukakasi na maandishi yako, nadhani swala la peponi au motoni ni la kiroho ndani ya mtu, naweza saidia watu na bado nisiwe na roho safi.
Yule mzungu mapikipiki kaishakula kona kali, kitambo sana ndo maana stress zimerudi upyaa!OG mbona ni Mange kabisa,hilo halina ubishi japokuwa anajitahidi kufool watu. Ila faida gani sasa,huku anamnanga zama kule main anamtetea. Halafu Mange inaonyesha kishatemwa na yule mzungu. Ila natamani mange arudi kwenye siasa walau alikuwa anaishake serikali.
Stress zimerudi upyaa!Team yake haitaki kuamini hili jambo,ipo siku wataamini tu.
Mzungu alishamtema zamaani ndo maana akarudi kasi kuanza kufatilia maisha ya watu. Siasani hata akirudi hana pa kushikilia,wapinzani ndo hivyo tena hawaeleweki
Kanuni ya Imani hiyo! Kama haikuhusu, usipoteze muda wako bure! Hutaelewa miaka 800
Na uskute kuna kitu anatafuta kwa nandy...ambacho maybe kinahusiana na mahusiano yao ye na marehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Si bora funza, pale karimjee kumejaa michupa imepasuka pasuka but yy alivyokuwa anakata mbuga mule, nenda geuza cha maana hamna daah[emoji134][emoji134]