TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Nilitaka nikupe kongole na like, lakini hiyo sentensi ya mwisho imeharibu kila kitu, au ulikuwa unawai kwenda kuharisha
 
Hivi mpaka karne hii ya 21 kuna watu wenye akili mgando kama zako?

Eti kama "serikali imekubali".....yani akili za mtu mwenywe phd ya maganda ya korosho ndo zinakua kama ni dira na kioo cha maisha yako????

Dude!

Kama hujauona umuhim wa Ruge mpka dakika hii mm na ww nan mwenye akil mgando!?

Mtu aliegusa na kunyanyua vijana wengi....alieinsipire vijana kufanya kaz kwa bidii na kujipatia kipato

Mtu alietambua, kuvumbua vipaji vya wasan almost wote hapa tz na kuwasimamia ad wakawa na majina makubwa bado unamfananisha na bab yako!?

Kupitia yy ndo leo tunaiona THT inayozalisha vijpaji vya uimbaji bado unalalamika huon thaman yake

Kuna meng kafanya huyu jamaaa bahat nzur sio ktu wa shobo kutaka ajulikane kila kitu

Ww umegusa maisha ya vijana wangap apo mtaan kwako!?
Achen roho mbaya mwachen Ruge apewe heshima anayostahili


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kagusa maisha ya wengi direct au indirect!!
Ndo mana hata alivoumwa gap lake lilionekana bila kificho
The guy was GENEOUS


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole nyingi sana kwa Zama na watoto wake, mapito anayopitia kwakweli ni Mungu tu ndio anajua.
Iliwahi kunitokea aisee nikaachiwa mtoto wa miaka miwili yaan sijawahi kusahau mpk leo. Nilikuwa naona kila kitu kibaya, nilitamani ht niache kazi ili niwe najifungia tu ndani.
Nikiona picha ya Zama na watoto wake nakumbuka kbs jinsi ilivyokuwa kwangu na mtoto wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona sasa umeanzà kuwa nabii.Umejuaje Ruge ameingia mbinguni? Au ni yaleyale ya chaguo la Mungu? Kwako Paskali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uzoefu wangu Roman Catholic mtu akifa kama alikuwa amezaa nje ya ndoa yaani alizaa tu bila kuoa/kuolewa hazikwi na padre wala ibada nimeona kwingi ila huyu mshukuru hata katekista kuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana Yake NI kuwa hajawahi kushiriki Jumuiya ndogo ndogo, Hakuwa Anaenda Kanisani , Maisha Yake yalikuwa mbali na Kanisa.


Hilo liwe funzo kwa watu maarufu msifikiri nyie NI maarufu zaidi ya Kanisa Katoriki,

Anzeni Sasa kushiriki Ibada ya Jumuiya ndogo ndogo, Walau Mara mbili kwa mwezi,

Kanisani Jumapili usikosekane, Tunajuana,

Kama hujafunga ndoa kafunge ndoa.

Maisha ya uhuni weka kapuni.

Siku ukifa hata Askofu atakuja
 
Hilo ndio Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume ...Kanisa alilolianzisha Yesu peke yake...

Halidanganyi wala Halidanganyiki

Wapi imeandikwa yesu mwenyewe anasema sio anasemewa yeye mwenyewe kwenye biblia kuwa yeye kaanzisha kanisa katoliki au kasema yeye ni mkristo
 
kwa sababu hakufunga ndoa na amezaa watoto bila ndoa , pia alikuwa hashiriki sakalementi za kanisa na visakalamenti vyake huwa hivyo na wakati mwingine hawafanyi kitu kabisa.
Mhh hii leo nimejifunza kwa kweli. sisi dini nyingine hata kama huswali, hutoi sadaka na mlevi wa kutupwa au hata katili mwisho wa siku unaswaliwa kama wengine na tunaamini Mungu ndio mwenye kusamehe mkimuombea.
 
Mkuu kama umeandika kwa HASIRA hivi!!! Acha watu wazungungumze maana ndo raha ya slogan ya JF, where we dare to talk openly
 

Sio kweli maada haikuwa lisu na serikali maada ilikuwa ni clouds wasimu-overrate marehemu kwa kumuita majina asiyostahili

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…