Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mpaka karne hii ya 21 kuna watu wenye akili mgando kama zako?
Eti kama "serikali imekubali".....yani akili za mtu mwenywe phd ya maganda ya korosho ndo zinakua kama ni dira na kioo cha maisha yako????
Dude!
Kwani serikali ndiyo nini? Kwa hiyo watu waliopewa dhamana ya kusimamia serikali wakianza kunya beach nawe utakunya?
Na hapa ndipo penye shida. Maadhal boss alitoa gharama za matibabu na amekuwa wa kwanza kututangazia msiba, basi eti limekuwa swala la kitaifa ?!.
Hata hivyo mimi sina tatizo naye, kwanza ni mtani wangu , alale pema pepon.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ht uandishi wake mbona unafanana wala haihitaji nguvu kubwa kujua km ni yy.Yaani wengine wanaobisha wanashangaza kukubali anavyoandika na kujijibu huku na huku.. huwa nachekaaaaaa
Kweli ndio atajaribu haswa amvute..
Km kaachwa tena basi itakuwa yy ndio tatizo aiseee 😀Yule mzungu mapikipiki kaishakula kona kali, kitambo sana ndo maana stress zimerudi upyaa!
Sipatagi picha alilotuchezea kuhusi ile gari alikodisha akajifanya mzungu kamnunulia daah[emoji849][emoji849][emoji849][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Magazeti ta zama mengi yanakuwaga na element za kujiproud na maisha yake, ht mm huwa siyasomi hd mwishoMange si shule inamuokoa!....kwahiyo migazeti yake haiboi
Yule Zama aaagh shule ndogo, so naonaga hata magazeti yake ni meaningless!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona sasa umeanzà kuwa nabii.Umejuaje Ruge ameingia mbinguni? Au ni yaleyale ya chaguo la Mungu? Kwako PaskaliMsianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.
Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.
Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.
Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Kwa uzoefu wangu Roman Catholic mtu akifa kama alikuwa amezaa nje ya ndoa yaani alizaa tu bila kuoa/kuolewa hazikwi na padre wala ibada nimeona kwingi ila huyu mshukuru hata katekista kuja.Kwa heshima zote za kiserikali na kibinadamu na mapokezi aliyopata Marehemu Ruge, Je, alisitahili kuzikwa kwa ibada kuendeshwa na KATEKISTA?
Ukitilia maanani ukaribu wa familia ya marehemu na Askofu M. Kilaini
Ujirani uliopo kijijini kati ya Askofu na Prof. Mutahaba
Mazingira ya mwamko wa kidini ya RC uliopo hapo kijijini
Ujirani na Parokia yake ya Itahwa
Ushiriki wa viongozi hao wa dini katika kuaga mwili wa Marehemu hapo Bukoba Club/Gymkhana
Mwisho wa Mwisho ibada ya mazishi ikaishia kuendeshwa na KATEKISTA ikishuhudiwa viongozi hao wa kanisa kushindwa kushiriki ibada hiyo.
Kwanza Sio utamaduni wa eneo hilo kwa mtu kama wa aina ya Mutahaba.
Mwisho wa RUGE imekuwa simanzi kubwa kwani mbwembwe za mitaani zimezimwa na KANISA lake.
The very last RESPECT imeua yote.
Mkuu nimefiwa na bibi yangu leo nakuomba uhudhurie msibani mkuyuni mwanza ushuhudie sijinasibu kwa mabaya haya ila njoo ushuhudieKufa ww uone ata kama katibu tarafa atakuja kwenye msiba wako[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndio Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume ...Kanisa alilolianzisha Yesu peke yake...
Halidanganyi wala Halidanganyiki
Mhh hii leo nimejifunza kwa kweli. sisi dini nyingine hata kama huswali, hutoi sadaka na mlevi wa kutupwa au hata katili mwisho wa siku unaswaliwa kama wengine na tunaamini Mungu ndio mwenye kusamehe mkimuombea.kwa sababu hakufunga ndoa na amezaa watoto bila ndoa , pia alikuwa hashiriki sakalementi za kanisa na visakalamenti vyake huwa hivyo na wakati mwingine hawafanyi kitu kabisa.
Mkuu kama umeandika kwa HASIRA hivi!!! Acha watu wazungungumze maana ndo raha ya slogan ya JF, where we dare to talk openlyMsianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.
Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.
Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.
Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Tunatofautiana akili na usilazimishe kitu ambacho kichwani mwangu hakikuwemo kabisa katika vitu nilinyimwa ni shobo dundo
Hahahaaaa! Mkuu nadhani hiyo mida nitoka kupiga pombe nyingi sana, tatizo nilikuwa nachanganya K Vant na beer, so i was a little bit sarcastic lakini hata hivyo, mada ilikuwa ni kati ya Lissu na marehemu ni nani kaigusa sana jamii, ndiyo ilikuwa topic, najaribu kuitafuta taratibu maana topic karibu zote za Ruge zimeunganishwa,
Lakini hata hivyo, hukustahili yale matusi ya pumbavu, naomba samahani kwa hilo.