TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Peponi na jehanam ndo wapi huko mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mgeni, yote usemayo ni kweli, ila kitakacho kuingiza mbinguni au peponi sio Ukatoliki wako, hata mimi ni Mkatoliki lakini amini nakuambia, kuna baadhi ya Wakatoliki sio tuu hawatauona ufalme wa Mungu, au watangia motoni, bali ndio watafanywa kuni kwa kuwapotosha wengine, wasio mjua Mungu, kwa kuaminishwa hayo wanayofundisha ndio mapenzi ya Mungu.

Tunapaswa kutenda mema wakati wote, ila tunaokolewa kwa neema tuu na sio kwa matendo.

Sijui ni wangapi wanajua kuwa Sauli yule mpinga Kristu mkuu ndie Mtume Paulo?. Uliyajua matendo yake akiwa Sauli?.

Lengo la hoja hiyo ni tusihukumu, tusije kuhukumiwa, the real salvation is only by the grace of The Lord's, The Almighty God.
P
 
Kwa heshima zote za kiserikali na kibinadamu na mapokezi aliyopata Marehemu Ruge, Je, alisitahili kuzikwa kwa ibada kuendeshwa na KATEKISTA?


Naye ni binadamu na haki kama wengine wowote
 
KUSHIRIKI IBADA MUHIMU SANA! Ruge alifanya ya dunia, akasahau ya Mungu, ikiwa ni pamoja na kushiriki ibada na taratibu za kanisa/dhehebu lake. Kanisa katoliki wanamsimamo sana, kuwa na watoto sio ishu, ila inawezekana walihitaji barua ya mwenyekiti wa jumuia kuthibitisha kuwa alikuwa anashiriki, ikikosekana , basi huna chako.

FUNZO:
Waumini wa imani zote, tujitahidi sana kubalance muda wetu, pamoja na mambo yote, lakini tuhakikishe kanisani/msikitin tunafika na kushiriki ibada na wenzetu kwa mujibu wa taratibu za makanisa yetu. Inawezekana kuzikwa kwa ibada/misa isiwe kitu mbele za Mungu, lakini sisi binadamu kwa macho ya nyama, inapendeza na kukupa heshima hata kwa wanaobaki.
 
Katekista hawezi kuongoza misa, kama ilikuwa ni ibada ni sahihi. Wewe ulitakaje aje huyu Askofu aliyepokea pesa za Escrow?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko instagram wananzengo wanasema ruge kapewa sumu ya muda mrefu.

Ata alivyokwenda india walimuambia labda ajaribu SA matibabu.

Haikuwa tatizo la kubadili organ tu,
Wanasema alichukulia poa sana tatizo lake muda alioanza kuhangaika nje ilikuwa late

SIO MANENO YANGU , NMEONA INSTAGRAM kwa theoriginaleast

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Alichukulia poa ki vp mkuu kwamba alidharau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…