TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

WAPI ALIPOSEMA JUU YA MWAMBA NITALIJENGA KATOLIKI? MIMI NIMESOMA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU, FULL STOP
Sasa huyo petro alieambiwa hivo ndo papa wetu wa kwanza mpk huyu wasasa.nadhani mpk hapa umejua kuwa Yesu ndo mwanzilishi wa katoliki

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mdau wa kipindi cha Clouds 360.

Leo nilipofuatilia kipindi nikamkuta Hassan Ngoma akiripoti kutokea msibani huko Bukoba ambapo tanga ndugu linaendelea na wafiwa waliolala msibani akiwemo Ngoma walikuwa wamemaliza kupata kifungua kinywa.

Ingependeza kama mtatujulisha wadau wenu ni lini mtarejea rasmi hewani baada ya kumaliza maombolezo.

Poleni sana
Maendeleo hayana vyama!
Huwa nasikiliza PB ila tangu wameanza maombolezo nimeahamia 88.1
 
Mimi ni mdau wa kipindi cha Clouds 360.

Leo nilipofuatilia kipindi nikamkuta Hassan Ngoma akiripoti kutokea msibani huko Bukoba ambapo tanga ndugu linaendelea na wafiwa waliolala msibani akiwemo Ngoma walikuwa wamemaliza kupata kifungua kinywa.

Ingependeza kama mtatujulisha wadau wenu ni lini mtarejea rasmi hewani baada ya kumaliza maombolezo.

Poleni sana
Maendeleo hayana vyama!
It's none of our business hata miaka mitano wanaweza omboleza
 
*JE IMANI AU MAPOKEO YA KANISA KATOLIKI YANAPATIKANA KATIKA BIBLIA?*
*&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&*
.

Wakatoliki wengi huyumbishwa kwa kuambiwa huamini mambo ambayo hayako au ni kinyume na Biblia. Aya zifuatazo zitakusaidia wewe mkatoliki kuelewa au kujua mistari ya Biblia inayofafanua imani katoliki.

1) KUOMBEA MAREHEMU:
2 Mak. 12:38-46
Hek. 3:1
Tob 4:17

2) MATUMIZI YA SANAMU NA VISAKRAMENTI
2Fal 3:20-21
Hes. 21:8-9
Kut. 25:17-22
Kol. 1:20, 2:14
Yn. 12:32
Mt. 19:11-12

3) USAHIHI WA MAPOKEO YA KANISA KATOLIKI KAMA CHANZO CHA IMANI
2 The 2:15
2 Kor. 10:10-11
Yn 21-25
2 Yoh. 1:12
3 Yoh. 1:13

4) KUABUDU JUMAPILI BADALA YA JUMAMOSI(SABATO).... Hasa ni kwa sababu Yesu aliitukuza siku ya kwanza ya juma kwa ufufuko wake na kwa kuwatokea wanafunzi wake siku hiyo.
Ufu 1:10
Mdo 20:7
Mt 28:1-8
Lk. 24:1-7
Lk. 24:13ff
1 Kor. 16:1-2
Yn. 20:1-22

5) MAMLAKA YA PAPA KAMA MFUASI AU MRITHI WA MT. PETRO
Yn. 21:15-17
Mt 16:18-19
W 2:1-14

6) MAPADRI KUITWA BABA WAKATI BABA NI MMOJA ALIYEKO MBINGUNI
Mwa 17:4
Yer. 7:7
Hes. 12:14
Yn. 6:49
Mt 23:30
Lk. 1:73

7) JE BIBLIA INATAMBUA MUUNDO WA UONGOZI WA KANISA?
Efe. 4:11-13
1Tim 5:17-25
1Tim 3:1-7,8-18

8) JE BIBLIA INASEMAJE KUHUSU TOHARANI.
Isa 35:8, 52:1
Zek 13:1-2
1Kor 3:15
Lk 12:47-48, 58-59
Ufu 21:27
Ebr 12:22-23
Ayu 14:13-17

9) KUHUSU MATUMIZI YA UBANI
Kut 30:34-37
Hes 16:6-7
Law 16:12-13
Lk 1:10
Ufu 8:3

10) ROZARI IKO KATIKA BIBLIA?
Lk 1:28
Lk 1:42

11) JE KUTUMIA MAJI YA BARAKA NI MAPENZI YA MUNGU?
2Fal 2:19-22
Yn 5:1-18
Yn 7:37
Hes 19:1-22

12) KWANINI TUNAOMBA WATAKATIFU WATUOMBEE?
Mit 15:8, 15:29
Ayu 42:8
Yak 5:16
Mt 16:19

13)KWANINI TUNATUMIA MEDALI, MISALABA, SCAPURALI NA MIFUPA YA WATAKATIFU?
2Fal 13:20-21

14) KWANINI TUNAUNGAMA DHAMBI ZETU KWA PADRI
Mt 16:19,1-20
Yak 5:15-16

15) UBATIZO WA WATOTO WACHANGA UKO KATIKA BIBLIA
Mdo 16:15-33
Mdo 18:8
Mt 28:19
Mdo 10:47-48

16) KUSIMIKWA KWA UTUME
Kut 28:4-43

17) RANGI ZA KANISA
Kut 27:9-29

18) MATUMIZI YA MISHUMAA
Kut 25:31-40; 27:20-21
Hes 8:1-4

19) MPAKO WA MAFUTA YA KRISMA
Kut 30:22-32

20) MPAKO WA MAFUTA YA WAGONJWA
Yak 5:14-15
*Hii ni kwa ajili ya wakatoliki wote wasiokua na uhakika wa wao kuwa wakatoliki*
*~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~*
Majibu haya hapa nyie mafarisayo wa jamii forums

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
 
Ruge Mutahaba ataendelea kutajwa kila kipindi siku zote Kama yeye mwenyewe alivyoacha ujumbe kuwa akifa watu wasilie bali washerekee mafanikio ya kuenzi na kuendeleza yote aliyochangia.
 
Kanisa katoliki halimlazimisha marehemu kutubu au kumsalia wakati yy alivokuwa hai hakufanya hivo

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
Mimi ni Mkatoliki na huu ndio utaratibu wa Kanisa Katoliki, ila huu sio mpango wa Mungu, ni mpango wa Kanisa Katoliki tuu. Kitubio cha kweli ni mtubuji na Mungu wake, tena hata ukifanya kitubio kimoyomoyo, Mungu anasikia. Hizi baadhi ya sacraments ni kujiplease tuu.

Tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo!.
P
 
Mimi ni mdau wa kipindi cha Clouds 360.

Leo nilipofuatilia kipindi nikamkuta Hassan Ngoma akiripoti kutokea msibani huko Bukoba ambapo tanga ndugu linaendelea na wafiwa waliolala msibani akiwemo Ngoma walikuwa wamemaliza kupata kifungua kinywa.

Ingependeza kama mtatujulisha wadau wenu ni lini mtarejea rasmi hewani baada ya kumaliza maombolezo.

Poleni sana
Maendeleo hayana vyama!
Acha uboya, chukua rimoti, weka stesheni nyingine, Clouds wamempoteza nguzo yao, waache waomboleze
 
Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.

Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.

Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.

Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P

Pascal taratibu kidogo. Kwa hii mifano yako tusingependa kusikia unaitwa tena Dodoma kwa mara nyingine. Nashauri uwe unatumia mifano ya watu bandia!
 
Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.

Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.

Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.

Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Idadi ya Aya za Uzi na idadi ya Aya za jibu lako inadhihirisha wazi mwenye Uzi unataka kumzima kibabe.Business class passenger wa Emirates amefika JK International Airport katoka nje kapanda daladala za TANDIKA na briefcase yake mkononi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mdau wa kipindi cha Clouds 360.

Leo nilipofuatilia kipindi nikamkuta Hassan Ngoma akiripoti kutokea msibani huko Bukoba ambapo tanga ndugu linaendelea na wafiwa waliolala msibani akiwemo Ngoma walikuwa wamemaliza kupata kifungua kinywa.

Ingependeza kama mtatujulisha wadau wenu ni lini mtarejea rasmi hewani baada ya kumaliza maombolezo.

Poleni sana
Maendeleo hayana vyama!

Jamani wacheni waomboleze wamalize machungu yao kwanza, msijali sana ya kwenu tu. Clouds TV ipo na itaendelea kuwepo, Ruge hatuko naye tena na hatutakuwa naye tena milele. Yaani wewe unajali tamthilia zako tu bila kuangalia uzito wa kilichotokea?
 
Back
Top Bottom