SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,338
- 4,676
Kama ni heshima kwa marehemu Ruge mbona sasa hatoweza kujua kazikwa na nani hivyo hata haisaidii kwake.
Nani kakufundisha kwamba Marehemu hajui kinachoendelea baada ya kifo? Kwa mwanadamu kinachohusika na utambuzi au ufahamu ni Nafsi. Na nafsi( Roho) haifi kamwe.