TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

[emoji3][emoji3][emoji16]poleni wahaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaaah huko instagram wasafi wanaposti mishumaa kinafiki. So far rayvanny na dem wake ndo wameposti mishumaa ila bila hata caption. Boss mond ndo hana habari kabisaa. Daaah naona kwa wasafi bora wasiposti tu coz utakua ni unafiki wa hali ya juu. Ila dudubaya sijui atasema nn coz alisha mwombea ruge kifo tangu zamani sana. Pole zamaradi najua una account humu.

Lkn tuwe waungwana jaman huyu mzee ni kati ya watu walio na mchango mkubwa sana sema tu kila binadam ana weakness yake.


R.I.P Legend Ruge. You will be missed so much.
Rest easy.
 
[emoji4][emoji4][emoji4]its okey babe
[emoji8]yaani Leo sikua online nakuta text msg ya dogo rip ruge huwezi amini kuna kazi nilikua nafanya niliachia watoto mchozi umenitokaa

Yaani nilikua namuombea apone kama namjua nikawa nasema Mungu mponye huyu baba ili dudu baya aumbuke kumbe Ana makusudi yake mengine kabisaa Mungu ila nimeumia sanaa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP Brother!

Mungu akurehemu akupokee salama huko ulikoenda.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mie sijui nisemeje jamam
 
Pumzika kwa raha na Amani mhasisi wa Hapa Ni Kazi Tu
 
Mola ampumzishe pema na awape nguvu wafiwa wote, Amein.


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Mi ndo nimeshangaa hapo eti kijana? Muonekano umekudanganya ruge mzee
R.I.P. Sir
Miaka 49 sio Uzee. Ndo alikuwa anakaribia kuanza safari ya kuutafuta Uzee. Unaanza safari ya kuutafuta baada ya kuuaga ujana.
 
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…