The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
LEAVE A LEGACY, Eric Thomas one of the best motivation speaker katika 1 ya speech zake anasema LEAVE A LEGACY (Acha urithi), anaendelea anasema Je kama ukifa leo hawa unaowaacha nyuma yako, una waachia nini?, Binafsi katika nafasi yangu kama mtu wa kawaida au kijana mwenye ndoto kubwa za kimaisha natambua na kuheshimu mchango mkubwa alioufanya Ruge, hasa kupitia madarasa ya fursa.. He was the real meaning of inspiration and He leave us a legacy, anaweza kua na mapungufu yake kama binadamu wa kawaida (mimi na wewe) lakini haipingiki legacy alioacha ni kubwa sana.
R.I.P Ruge, hakika kila nafsi itaonja mauti it just a matter of time.
Sent using Jamii Forums mobile app
R.I.P Ruge, hakika kila nafsi itaonja mauti it just a matter of time.
Sent using Jamii Forums mobile app