GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Inawezekana vipi hii?Mungu ampumzishe mahali pema peponi.
Kama ni mkono wa mtu hakika alaaniwe na apate mabaya hapa hapa duniani na kuzimu pia.
Kuna watu wabaya sana hapa Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana vipi hii?Mungu ampumzishe mahali pema peponi.
Kama ni mkono wa mtu hakika alaaniwe na apate mabaya hapa hapa duniani na kuzimu pia.
Kuna watu wabaya sana hapa Tanzania.
Mpaka tuje kuuelewa vizuri huu ugonjwa kama taifa nafikiri watu kibao watakuwa kwenye gridi tayari.binadamu wanajisahau serikali imepiga kampeni ya chanjo ya hepatitis b na watu hawakuonekana kwa wingi
Mzee sio hivyo tu...hata kidole tu..kinaweza kukuondoa...kwenye mwili wa binadamu ogopa sana ini na figo kupata hitilafu...
Mie watoto hata siwawazii si wamepata new baba in town!ila😷Jamani wtt bado wadogo kupoteza baba. Hivi hakuwai kuowa? pole mpendwa
Ini na Figo vinaua vibaya jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Usijali hakuna namna tuliumbiwa maradhi na maradhi yanatuua.
Hivi na wewe unaamini waigizaji wanaotumia biblia?Inaumaa..kama mwili upo south Africa nnaomba wamplekee yule mchungaji anayefufua watu,huku Tz tunaumia sanaa[emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kafariki, ITV wametangaza
Mie nimeshindwa had kula..hapa njaa inauma
Ugonjwa gani huo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]huu ugonjwa mbaya jamani....I lost my sisy naona kwa macho yangu aiseee.. within 3 months kuugua na kufa...ugonjwa katili sana
Apumzike kwa amani...ngumu kuamini
AKapumzike ameteseka imetosha[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kiongozi wa dini alitabiri kuondokewa kwa mtu maarufu AFRIKA MASHARIKI
The beast