Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mie nimeshindwa had kula..hapa njaa inaumaJamaniiii but whyyyyyy?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nimeshindwa had kula..hapa njaa inaumaJamaniiii but whyyyyyy?????
Dah yaani msiba ni kitu kigumu sana.U
Unadhan mie naogopaga kufa?siogopi ila nna hofu sana akifa mzaz wangu m1..nahisgi level ya kupata ukichaa ni kubwa sana!mie napaogopa labor tu kifo sikiogopi sana!
With Kidney failure, sitashtuka sana! Siombi hayo lakini ule ugonjwa si mzuri katu. All metabolic wastes have no exit outside the body!
Mkuu hivi vitu hutegemeana, moyo mtiti wake siyo wa mchezo mchezo, kichwa kikizengua napo matatani!kwenye mwili wa binadamu ogopa sana ini na figo kupata hitilafu...
Kuna mambo mengi yanayosababisha figo kutokufanya kazi. Maradhi, dawa, nk.Figo mkuu.
Pole dear[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],,dah,,najua jinsi Hali inavyokuwa yaaniNdiyo maana mimi naomba Mungu nije kufa kwa mlipuko wa ajabu hata nilipukiwe na kombora nisambaratike kama udongo.
Aliteseka sana yule mama, siku ya mwisho natoka kumuona nilirudi kwenye makazi yangu na kuomba Mungu naomba mpumzishe yule mama anateseka sana.
Binadamu wanajisahau serikali imepiga kampeni ya chanjo ya hepatitis b na watu hawakuonekana kwa wingiNavyozidi kusoma na kupata maarifa kuhusu HEPATITIS B (liver infections), nazidi jiuliza WHY GOD SLAPS IT ON SEX? Why these deadly disease are manly caused by sex? What was the purpose of sex!
Wakuu, huu ugonjwa inaonekana ni more deadly than h.i.v na huu haukupi muda wa kutosha wa kuaga na unaambukizwa kwa njia zile zile kama za h.i.v.
Dah!
Usijali hakuna namna tuliumbiwa maradhi na maradhi yanatuua.Pole dear[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],,dah,,najua jinsi Hali inavyokuwa yaani
Nikiona huu ugonjwa unaendelea kuuwa watu huwa naugua Sana moyoni mwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu.Kuna mambo mengi yanayosababisha figo kutokufanya kazi. Maradhi, dawa, nk.
Figo huchuka uchafu wa damu na uchafu huu hutolewa kwa njia ya mkojowna damu safi hurudi mzungukoni.
Figo zisipofanya kazi vizuri inamaana uchafu huendelea kuzinguka mwilini na huwa sumu. Ndiyo maana mgonjwa hufanyiwa dialysis ambayo hufanya kazi ya figo.
Jamani wtt bado wadogo kupoteza baba. Hivi hakuwai kuowa? pole mpendwaMie nimeshindwa had kula..hapa njaa inauma